Adui namba moja

Naogopa nyoka alishawah ning'ata usiku nilimkanyaga, ila sipendi kuona wameuliwa!

Mie hata mbu siui!

Nidhambi kuua viumbe vyenye damu ! "hata kuku sili "
 
Ni shiida kuna wengine wanakujibu hata kama hatuchemshi mbona hatuumwi au kufa ovyo,wanakuona kama mbaguzi. Just imagine ndoo ya kuogea ndo hio hio ya kuoshea vyombo na maji ya kupikia. Maisha haya.
 
Mh! Inahitaji moyo aisee. Ndoo ya kuogea ndiyo hiyo hiyo ya kuwekea maji ya kunywa? Wengine kipaumbele cha afya zao kimewapitia kushoto.

Ni shiida kuna wengine wanakujibu hata kama hatuchemshi mbona hatuumwi au kufa ovyo,wanakuona kama mbaguzi. Just imagine ndoo ya kuogea ndo hio hio ya kuoshea vyombo na maji ya kupikia. Maisha haya.
 
Hasa ukienda vijijini hutatamani kuishi huko kipindi kirefu maana mkila chakula mchuzi ukabaki unarudishwa kwenye sufuri mboga ya usiku au kesho yake. Chai hivyo hivyo hakuna kumwaga utapoteza sukari,ikibaki rudisha kwenye chupa watakuja kunywa wengine.
Mh! Inahitaji moyo aisee. Ndoo ya kuogea ndiyo hiyo hiyo ya kuwekea maji ya kunywa? Wengine kipaumbele cha afya zao kimewapitia kushoto.
 
adui namba moja kwangu ni umaskini nyoka kitu kidogo sana tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…