Aah sehemu wanayofuga paka wananishangaza maana paka wanaingia mpaka ndani kila kochi manyoya yao yapo. Vyombo vya kulia paka sehemu nyingine ndo masahani na mabakuli hayo hayo wanayotumia ndani ya nyumba
Ila nyoka siogopi kuwaona labda kwa sababu nimekulia sehemu iliyokua nao wengi,kuwaona wanakatisha au kukuta gamba lake njian lilikua jambo la kawaida
Fisi na mamba movie zao kila kona zipo nshazoea
Haa kwanini mkuu?[emoji23]
Wanasema kumkamata nyoka ni rahisi,kumwachia ndio muziki.Inakuwaje humpendi huyo nyoka pendwa?
[emoji86][emoji86][emoji86]
Wanasema kumkamata nyoka ni rahisi,kumwachia ndio muziki.
Alafu nyoka huyo sumu yake inakimbilia rohoni.
Hakika nakwambia.Ndiyo alivyo huyo nyoka. Husababisha mengi sana hapa duniani.
Asee umenikumbusha jeshini kipindi cha mkesha nilidoji usiku nikaenda kulala kwenye nyasi nyuma ya bwalo kumbe alikuwepo chini ya nyasi nimemlalia kidogo nasikia kitu hapa mbavuni kama kinanigusagusa ile naweka mkono nikitoe nikaikumbatia kama nimeshika ule mpira wa kumwagilia aisee niliruka nanlile wenge la usingizi liliniisha pale paleView attachment 656051 sipendi nyoka ,,natamani wasingekuwepo
Aah sehemu wanayofuga paka wananishangaza maana paka wanaingia mpaka ndani kila kochi manyoya yao yapo. Vyombo vya kulia paka sehemu nyingine ndo masahani na mabakuli hayo hayo wanayotumia ndani ya nyumba
Ila nyoka siogopi kuwaona labda kwa sababu nimekulia sehemu iliyokua nao wengi,kuwaona wanakatisha au kukuta gamba lake njian lilikua jambo la kawaida
Fisi na mamba movie zao kila kona zipo nshazoea
Pale pale bwana.Rohoni wapi
Uwiiiii umesema kweli mkuu,unakuta nyumba ina paka mpk unajiuliza wa kazi ganiiiii,,,km suala ni panya basi nitawauwa na sumu
Yale manyoya sasa[emoji37][emoji37]
Yaan wana roho ya kipekee hao wafuga paka
Umealikwa kama Mgeni nyumbani kwa mtu kwa chakula. Nyumba ile ina mapaka wengi tu. Baada ya chakula kuwekwa mezani bila kufunikwa na mwenyeji wako kurudi jikoni mapaka yanarukia mezani na kuanza kudokoa dokoa chakula kile.
Utakula chakula kile au utatumia mbinu ipi ili usile kwa sababu kimechezewa na mapaka?
Niliposhika nikasikia kitu kama kinajisokotea mkononi nilikung'uta mkono kwa nguvu hapo hapo nikiwa nishasimama sped na mbio hadi usawa wa ofis ya combania na nikakuta rocore ishapita na nimeshaandikwa absent asee wee wee acha kile kichapo kesho asbh mungu ndo anaejua...Baada ya hapo ukamuua???
Ulirudi kwenye mkesha???
Ma kepteni hawakugundua???
Mweee ntasema tu ukweli kua chakula kimeliwa na paka,aibu nyingine zitatusababishia magonjwa.
Kama kuna sehemu nilienda tembelea kwa wiki moja maji ya kunywa kikombe hicho hicho kinatumika kuchotea maji kwenye ndoo ya maji na mtu anakunywa na kukirudisha kikombe hapo awe mgeni,fundi ujenzi,mpita njia wote wanatumia kikombe hicho hicho,watoto sasa wanatoka kucheza mivumbi tele anachota maji hadi mkono unatoka msafi anakunywa na kuyarudishia aiseee mie walinimaind tu ila sikujali nilikua nanunua maji ya chupa dukan kila siku
Kwi kwi kwi kwi lol! Una tabia kama zangu aisee kwenye mambo ya usafi.
Daah afya muhimu sana. Bora kuonekana mbaya kuliko kukubali kutenda usivyopenda
Umealikwa kama Mgeni nyumbani kwa mtu kwa chakula. Nyumba ile ina mapaka wengi tu. Baada ya chakula kuwekwa mezani bila kufunikwa na mwenyeji wako kurudi jikoni mapaka yanarukia mezani na kuanza kudokoa dokoa chakula kile.
Utakula chakula kile au utatumia mbinu ipi ili usile kwa sababu kimechezewa na mapaka?
Hahahahhaa sitakila jmn uwiiii siwezi kabisaa yani nitawaambia na kuwashauri juu kuwa hawa paka ni kerooo