G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,617
- 3,491
Wengi watakujia juu hapa na porojo zao wakijaribu kuiaminisha jamii kwamba ni wajibu wa mwanaume kumhudumia mwanamke...usishangae mkuu ndizo tabia za waafrika karibia wote
Kuna filamu moja nilikuwa naiangalia jana inaitwa "ASSAULT ON WALL STREET"
Mule ndani namuona mwanamke anavyokosa raha kwa sababu mzigo wote wa matibabu yake kaubeba mumewe na yeye hana msaada wowote na inafikia hata kumkataza mumewe asiendelee kumlipia gharama za matibabu
My call:
Ukiona mwanamke anakuomba pesa basi ujue yupo na wewe kwa sababu ya pesa zako, na ikitokea huwezi mpatia pesa basi atakuacha na kwenda kwa mwingine mwenye nazo
NOTE
Hakuna mapenzi yenye raha na uhuru kama ya watu wawili wanajitegemea kiuchumi na kifikra