STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Yaani unadate na mtu anakutumia SMS, babe naomba unisaidie kitu kimoja, unajua baba ameishiwa hela kabisa hapa home hapaeleweki please nisaidie hela' khaa! Sasa mimi nilikutongoza wewe au nilitongoza ukoo wenu mzima? Babako kuishiwa hela mimi inanihusu nini? Mwambie akadai mafao ya wastaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki! Kesho utasema unaomba hela shangazi anunue cherehani.
Girls muwe serious, mizinga kwasasa ni adui namba moja wa mapenzi!!
Girls muwe serious, mizinga kwasasa ni adui namba moja wa mapenzi!!