Pipo are dying my God!Habari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Hillary Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu Adrian kama kijana mchapakazi na mwenye utu, kifo chake kimenipa huzuni sana, sikujua kama angeondoka duniani mapema hivi.
Namuombea pumziko jema huko alipo
Kifo kinauma.
😭😭
Inasikitisha, vifo vingine unakuja kuambiwq tu jamaa tushamzika mwaka sasa umepita, unabaki na butwaa.Pipo are dying my God!
Wape Moderator user name yake wamchape RIP.What? Kaka alikuwaga anapenda ubuyu wangu masikini!
Pumzika kwa amani Adrian.
Alikuwa anatumia id gani humu?Daah, ndio maana sijamuona humu ndani kitambo, sikujua kumbe ndio mazima.
Kifo kinafanya maisha uyaone ni upuuzi.
Adrian SteppAlikuwa anatumia id gani humu?
Daah apumzike kwa amani.
Wiki mbili Azam inapoteza watangazaji wawili! Poleni Azam family.Habari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu Adrian kama kijana mchapakazi na mwenye utu, kifo chake kimenipa huzuni sana, sikujua kama angeondoka duniani mapema hivi.
View attachment 3299783
Namuombea pumziko jema huko alipo
Kifo kinauma.
😭😭
Nyie wagalitia, huko sio salama kwenu, mtaIsha woteHabari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu Adrian kama kijana mchapakazi na mwenye utu, kifo chake kimenipa huzuni sana, sikujua kama angeondoka duniani mapema hivi.
View attachment 3299783
Namuombea pumziko jema huko alipo
Kifo kinauma.
😭😭
Apumzike kwa amani.Alikiwa member active sana humu JF, RIP Adrian Stepp
Hakika kifo kinauma! Nilizoea kuona akipita huku na coment zake za aina hii "ahahahh"Daah, ndio maana sijamuona humu ndani kitambo, sikujua kumbe ndio mazima.
Kifo kinafanya maisha uyaone ni upuuzi.
Headmistress... kwani umri sahihi wa kugoing ni upo!Going the soonest.
Hii tasinia imepata misiba mfululuzo.
Poleni wote.
Daaah, nimecheki avatar yake hapa JF imeandikwa R.I.P, nimelia, jamaa alikuwa anapenda ucheshi na utani mwingi.Hakika kifo kinauma! Nilizoea kuona akipita huku na coment zake za aina hii "ahahahh"