Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,076
- 41,074
ok.🐒tunajua mmemtoa madarakan kwa nguvu pia kumvua uanachama na kumteka kisa kaenda tofaut nanyi.
HILO LIPO WAZI
ok.🐒tunajua mmemtoa madarakan kwa nguvu pia kumvua uanachama na kumteka kisa kaenda tofaut nanyi.
HILO LIPO WAZI
LEO KWAKE KESHO KWAKO.
Aende nyumbani kwake atekwe? Nyumbani kwake kunalindwa 24/7. PoliCCM wamezunguka nyumbani kwake na mitutu.
ni ngori. 🐒LEO KWAKE KESHO KWAKO.
ID yake inatosha kumjua!Wewe unajuaje kuwa hayamsaidii!? Sometimes kufunga domo lako ni vyema sana kuliko kuropoka ropoka.
hayani ngori.
Alituaminisha hapa hapa jukwaani kwamba baada ya samuya afuatae NI NCHIMBI Sasa sijui imekuaje Tena kwa chawa huyu mkata viunoumemsahau tayari 😁,chawa hamna maana
ni ngumu, angekuwa ameshajitokeza mapema tu.Labda Ataonekana kizimkazi Akienda Kutoa pole kwa MH Rais.
Una akili za mavi mkuu 💩👎Masuala ya Nchimbi yatakusaidia nini mkuu?? Siasa za kijinga kabisa hizi. Masuala ya CCM waachie wenyewe, wewe waambie wananchi utawasaidia vp katika kuzitatua kero zao.
Asante Sana boss wanguUna akili za mavi mkuu 💩👎
Sasa mtu mwenyewe anajiita akili ndogo alafu mnahangaika kumjibu his non sense. Hawa ndio wale wa kila wananchoambiwa "Ndio mzee"🤣🤣Ni Bora hata usingetoa maoni...kwani hujui km mwanchi una haki ya kuhoji alipo Makamu wa Raisi....haya na wewe ukipotea watu wakae Kimya bila ya kuhoji ulipo...sindiiyo...?
Uliyekuwa unamtetea kuwa ndiye rais ajaye leo unajibu hivi? Kweli nimeamini chawa ni chawa tukwani alikua wapi?🐒
ni wajibu wangu wa kizalendo kumtetea kila mTanzania gentleman 🐒Uliyekuwa unamtetea kuwa ndiye rais ajaye leo unajibu hivi? Kweli nimeamini chawa ni chawa tu
You talk nonsense woman's genitals weyeni wajibu wangu wa kizalendo kumtetea kila mTanzania gentleman 🐒
ok.You talk nonsense woman's genitals weye

Nyumbani kwake hayuko na family ime-mute ukiuliza chochote wanatetemeka na kukujibu 'no comment'.Kwani amejaribu kwenda nyumbani kwake akamkosa?
Nyumbani kwake hayuko na family ime-mute ukiuliza chochote wanatetemeka na kukujibu 'no comment'.
Kwa sasa nyumbani kwake hapaingili, 'ulinzi' usio wa kawaida uko pale baada ya kupata tetesi mashirika ya habari ya nje yanapanga kwenda kuhojiana na familia au na EN mwenyewe.