Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, akiwa Kizimbani baada ya kuahirishwa kwa Kesi yake amehoji alipo aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, huku akiwataka viongozi wa dini kutonyamazia suala hilo.
"Nchimbi hajapatikana? Waulizeni Maaskofu waseme...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mohamed Kawaida ametoa onyo kali kwa viongozi wa serikali na wa Chama hicho wanaojifanya kuwa ni wakubwa kuliko chama hicho kwamba hawatasita kuwachukulia hatua
Soma pia >> Kawaida: Kamati Kuu ilimuita Nchimbi lakini kwa sababu ya...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama.
Ado ametoa wito huo Septemba 10, 2026 wakati akizungumza katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya...
Inasemekana mawasiliano na Nchimbi hakuna hadi sasa
Ikiwa wamechukua simu yake maana yake huenda wamegushi barua ya kujiuzulu, wakatumia account zake za mitandao ya kijamii pia kutuma.
Nafasi ya makamu wa Rais ni kubwa sana mtu kujiuzulu kwa barua tu,
Ngoja tusubiri kauli yake mwenyewe.
Hatimaye code zimeanza kufunguka, video hii ya miezi mitano iliyopita, akiwa Bungeni, Dkt. Godwin Mollel aliyasema haya kuhusu watu aliodai wanachokonoa Ikilu, kwamba yeyote anayefanya hivyo ni adui yao.
Video hii imetrend ikiwa ni muda mfupi baada ya Makamu wa Rais, Dkt Emmanuel Nchimbi...
Mheshimiwa Rais Samia aridhia Nchimbi kujiuzuru Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 25 Agosti, 2026, amepokea barua ya ombi la kujiuzulu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.