Adhabu ya mashoga isiwe kupelekwa jela

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,246
1,645
Research zinaonyesha Idadi kubwa ya hawa watu wanapata hili Tatizo baada ya kushtakiwa na kupewa adhab ya kwenda jela kwa makosa tofauti tofauti

Labda Watu hawajui Kama katika viwanda vya kuzalisha Mashoga Ambavyo serikali inamiliki ni jela!! JELA ndiko zinazaliwa hizi Tabia kulingana na mfumo wake ulivo,Watu huko wanabakwa,wanalowa 071... Na hamna kosa MTU anashtakiwa eti kamfanyia hivo mwenzie huko jela ....POLISI magereza hawaamulii wala kutetea wanyonge huko ajabu yake baada ya kutoka huko watu wanakua Machoko!! Sasa unawarudisha jela wakaendeleze au wakabadili tabia??Sehem iliyomjenga MTU haiwez mbadilisha??
Ni sawa na Kumvua samaki halafu unamtupia tena kwenye maji!!
Ili jela kuwe sehem ya kubadili Tabia bas ni Lazma sexual abuse ipngwe na wahusika wachukuliwe hatua!! Hawa watu ukiwarudisha huko ndo wanaenda kuolewa kabisa!!
 
Na wawafungishe ndoa kabisa.

Kuna siku nilipanda hiyce usiku kumbe yule konda alishafungwa alifu akawa bwabwa Akawa anajisifu eti alivyokua jela aliwatunuku wenzie 071...
Alivyoendelea kujisifu nikashindwa kuendelea kusikiliza upuuzi nikampa mangumi ya haraka dereva akasimamisha gari akachukua hela tukamuacha pale.

Abiria wakanipongeza kwamba huyu mshenzi ni bora ulivyomzibua maana anatia aibu humu.

Kweli mule hata utaratibu wa maisha ya mule ubadilishwe ili pawe salama kwa wote wanaopelekwa mule.

Ingawaje kwa kesi kama ya huyu yeye alikua akijisifu ina maana yeye aliamua mwenyewe pamoja na misukumo ya mule ndani.

N.B kabla ya kuchukua hatua yoyote kali dhidi ya hii jamii lazima jitihada za makusudi zifanyike kuhakikisha wanasaidika.
 
kuzuia mashoga serikali imeshachelewa sana ni sawa kuziba jua na ungo.
jela sio chimbuko la mashoga,chimbuko la mashoga linaanzia uku chini kwenye mashule kuanzia madarasa ya awali mpaka sekondari uko ndipo watoto wanapoanza kuharibika,wazazi tukifanikiwa kuwa control watoto vizuri itasaidia sana kupunguza kasi ya ushoga.
 
Tusiwanyanyapae wala kuwatenga Wapenzi wa Jinsia Moja, tuwaombe Radhi kwa kuwanyanyasa-Pope
 
Mtoto anatimiza miaka miwili na nusu, mnaanza kuwapeleka Boarding, eti mnaahidiwa anatunzwa kwa maadili mema ya kidini (labda). Mnawaamini watu (matrons, patrons, waalimu), ambao si ajabu hata wao familia zao zili/zimeshawashinda.

Anakua huko anakutana na watoto ambao wametoka katika familia za ajabu na maadili ya ajabu, ila kwa kuwa wazazi wao wanazo pesa, wanawabwaga hapo Boarding. Wanaanza kuwaharibu watoto wenu, zaidi na kuwatisha wasiseme, na wakirudi likizo, hawapati nafasi ya kukaa na wazazi kuzungumza kinagaubaga na kwa upole, makuzi ya huko, wazazi wapo / mpo bussy, zaidi mnafurahia anavyoomba chumvi kwa kizungu na kucheka kwa furaha, kumbe mtoto ana matatizo yanamsibu, ila hakuna wa kumuuliza, shule zinafunguliwa anarudi kuuendeleza mchezo. Wazazi mnakuja kushtuka, tayari hafai (anaweza kuwa msagaji ama shoja), zaidi sana mwizi ama mpigaji wa chabo, ama matusi hayamkauki mdomoni.

Mkiulizwa, eti mko bussy, hamna nafasi ya kulea, n.k n.k. Zaidi wengine wanaharibikiwa na housegirls ama houseboys. Sasa sijui hizo pesa mnazohangaikia mnamtafutia nani? Mtoto anakuwa mkubwa, mnamfunza gari, anaondoka nalo mkijua anaenda kusalimia friends, kumbe anaipeleka akaolewe.

Inauma Sana.

Ahsante!
 
Inashauriwa mtoto apelekwe boarding sijui hostel, walau katika ngazi ya sekondari, anakuwa na uwezo walau wa kujitetea mwenyewe, akiamua kufanya hivyo, yeye tu, ila makatazo na usia anapoondoka kwenda shule, mzazi ama mlezi huna budi kumuusia. Maana hata kama mtoto / watoto wanalindwa na Mungu, ila bidii yako kumuombea kwake Mungu, na kumuonya khs mabaya ya dunia, uizidishe.

Nilishuhudia mtoto fulani hivi, anawaita baba na mama yake, dada na kaka, kisa wao wanafanya kazi porini tena sehemu tofautix2, na mji wao upo mjini, housegirls ndiyo anamjua kama mama mzazi, na bado wazazi wanakenua tu eti 'wanatafuta pesa'.

Wazazi tubadilike, sana tena sana aisee, boarding na hostel huko siyo salama kiviiile kama mnavyoaminishwa, ni hatari aisee, na mifano ipo mingi tu.

Mfano mwengine ni, binti tangu nussery hadi chuo, yupo boarding, kaanza kulalwa na wanaume wakiwemo walimu sijui na patrons, akiwa darasa la tano, mbaya zaidi akaanza mchezo wa kuingiliwa hadi kusikotakiwa 713 na kuanza kunywa pombe tena zile kali kali kama konyagi, na akirudi kwao, anakaa kwa kujikausha kimya kama siyo yeye na wazazi hawaelewi na kumsifia sifia kila kona. Mbaya zaidi siku moja walimkuta na msokoto wa bangi, kumbana sana akawaambia kajifunzia shule, mara sijui ya rafiki yake, na blah blah kibao.

Baadhi walijua tabia na mienendo ya binti huyo, ila hawakuthubutu kusema, maana ukimsema tu unazushiwa kashfa sijui mnamtaka kimapenzi, mara mnamuonea wivu, watu wakakausha.

Pamoja na mtoto analelewa na jamii, ila wengine hawasemwi na jamii, maana unaweza kuionja lupango - maana pesa inasema.

Warumi 1:21-32

1Timotheo 1:18-20

Ahsante!
 
Hiyo research fake mkuu..Mashoga wengi hata hiyo jela hawaijui..
 
Tafsiri sahihi kisheria (Nikikosea naruhusu kukosolewa ama kurekebishwa), juu ya neno ama maana ya adhabu ya jela / kifungo ni hii; INFLECTION OF SUFFERING AND PAIN, na mengine kama sijui kujifunza huko yanakuja baadaye sana, na tena yamekaa kisiasa siasa hivi.

Matendo maovu yote, likiwemo la ubakwaji kwa wanyonge (hasa wale wenye tamaa na wanaokubali kwa hiari yao wenyewe), yanafanywa uraiani, huko jela ni alama tu ya yanayotokea uraiani huku.

Siku zote na hadi kufikia mwisho wa dunia, vyombo vya kiserikali (mahakama, magereza, polisi), hawatakaa kuja kukubali ya kuwa hayo hayatendeki, yanatendeka sana, na mfano ni hata hapo juu watu wamelishuhudia hilo.

Hivyo, kwa kuthibiti hilo, kwanza lile neno - tafsiri niliyoiweka hapo juu, ibadilishwe ama kurekebishwa, maana wengi wanaingia jela kwa kusingiziwa, kuonewa, kubambikiwa kesi, na wengine hata kwa makosa ya kweli, ila kama akiingia na kuikuta hiyo tafsiri inafanya kazi midomoni mwa askari jela, pamoja na wafungwa wenzie, atahisi kama siyo kuamini, hata kulawitiwa ama kusagwa (kwa wanawake), ni moja ya ile tafsiri, hivyo kujikuta tu akikubali maana hakuambiwa kabla ya kuwa hilo halimo ndani ya ile tafsiri.

Mkinikosoa ama kunirekebisha, nitafurahi zaidi, maana wengi humu tunajifunza kila siku.

Ahsante!
 
Binafsi nafikiri kama siyo kuamini, adhabu kwao iwe ni kuwekwa kwenye Sobar House (kama za wale mateja wa dawa za kulevya, pombe, bangi, n.k).

Ila Sober yao hawa iwe ni kutibiwa kwa sana, kufundishwa stadi za kazi, na kufanyishwa kazi ngumu kidogo, maana mwili ukichoka kwa kazi, na matibabu juu, naamini kabisa watasaidika hawa.

Nafahamu ni gharama, lakini kama Taifa, kwa ujumla likiamua, yote hayo yatawezekana tu.

Changamoto naamini zitakuwepo, kama vile wenye tatizo hilo kujitokeza kimatibabu hayo kwa hiari. Changamoto nyengine ni wapo mashoga ambao wanafanya hayo kiuficho, na wengine wana familia zao pia. Changamoto nyengine kuu ni, mataifa makubwa wafadhili, watapiga tu kelele kuhusu hilo.

Pendekezo hilo juu hapo, liwahusu pia wasagaji, wasagwaji na wafiraji.

Hayo yakiendelea kufanyika, tufunge, tusali, na kuwaombea kama Taifa, walau kwa kipindi tutakachokubaliana.

Ahsante!
 
Kwa inavyoeleweka, ni yule anayeingiliwa na wanaume wenzie, ila wapo pia wanaoingiliwa na wao pia wanawaingilia wengine kinyume cha maumbile ama kawaida - mfano wale waliooa.

Kizungu Gay (imebeba wote wawili, mfanya na mfanywaji).

Kiswahili, kuna Shoga (msenge), na Basha (mfiraji).

Wengine mje mdadavue hili.

Cc Usednewcountrypipo

Ahsante!
 
Pole nilikosea jina lako, kumbe ni 'usedecountrynewpipo'. Ila naamini umenisoma

Ahsante
 
Tusiwanyanyapae wala kuwatenga Wapenzi wa Jinsia Moja, tuwaombe Radhi kwa kuwanyanyasa-Pope
Hizi dini zinabeba masrahi ya watu mkuu. Nashangaa sana na sijui ntaacha lini kushangaa leo kanisa linapinga kuoa wake wengi eti dhambi wakati likihubiri positively kuhusu hawa marahuni (mashoga). Ni mara mie nife bila dini kuliko kukaa dini moja na hawa watu.
 
Mie naona adhabu wangepewa watumiaji ambao ni wanaume sababu kukiwa hakuna watumiaji sidhani kama kutakuwa na bidhaa hiyo ( ushoga) na mbaya zaidi hao mashoga wenyewe wanasema wateja wao ni watu wazito ( wenye pesa zao na vyeo )
 
Back
Top Bottom