Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Ni stail ya kufanyia hata tizi ikiwezekana hahaha..
Lol! Mbavu zangu mie!! Kuna watakaofia njiani kwa kukosa pumzi ; binadamu tumejawa sana na moyo wa visasi; haswa kwenye hili swala la mapenzi
 
Kuna kitu hakionekani kipo ndani ya mapenzi
Endapo kingeonekana kwa macho kila mtu angekikataa
 
hii adhabu ni mbaya sana kuna mama mmoja jirani yangu alikimbia ndoa yake ya miaka 10 baada ya kufumaniwa na mumewe hakuuliza chochote sanasana akazidi kumpenda aliondoka mwenyewe mpaka leo hajarudi
Adhabu sahihi, lakini kuitoa yataka moyo.
 
Ni rahisi kusema kumpuuza ni dawa pekee kama halijakutokea, lkn ikitokea umemfuma huwez waza kumpuuza labda uwe humpendi ama nawew umetoka kufanya au huwa unafanya usaliti tusidanganyane wapendwa!
 
hii adhabu ni mbaya sana kuna mama mmoja jirani yangu alikimbia ndoa yake ya miaka 10 baada ya kufumaniwa na mumewe hakuuliza chochote sanasana akazidi kumpenda aliondoka mwenyewe mpaka leo hajarudi

Mimi nimewahi kudukua mawasiliano ya mpenzi wangu na kichepuko chake nikafanikiwa kumtega na kuwafumania nikamkaushia tukaendelea.

Mara ya pili tena na jamaa mwingine nikapotezea, ila at last alijiongeza akaniambia hana amani kwa sababu sijareact kwa makosa yake mwishoni aliishia kuniambia amejishauri na kujihukumu kujiachia.

Mpaka sasa siko nae ila ni baada ya kujifanya yaliyotokea nimepuuzia.
 
unanikumbusha story fulani hivi,,,,"jamaa kamfumania mkewe na hakufanya chochote na aliendelea kuwa kawaida kama hakuna kilichotokea, sasa wakati wa kulala umefika mjamaa kapanda kitandani lakini mke anajizunguusha tu, kama utani vile jamaa akaanza kukoroma,,,,hahahaha mwanamke si yakamshinda kuvumilia bwana acha aanze kumtikisa mmewe,,,amka amka unipige haiwezekani unifumanie halafu uniache haiwezekani au unataka nilale uniue,, nipige nasema nipige yaishe kama hutaki narudi kwetu,,,hahahaha kilichoendelea hata mimi sijui ila usiombee ufumwe halafu aliyekufuma anauchuna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom