Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Wewe ni jiniasi kabisa.
Usipoteze mda na kuchubuka mikono kwa kumpiga mpuuzi. Endelea na shughuli zako kama kawa wala usiyakumbuke uliyoona. Si ulimpendezesha weye mpaka akaonekana??
Namdharau na naendelea na yangu kama vile ni kipofu
 
Kudadeki nimkute wife anapigwa nje ndani let say guest;hata home haiingii tena kama anataka vitu vyake navipeleka atakaponiambia nimpelekee!

Kuchapiwa kuna uma sana nyie,nilipokuwa chuo niliwahi mfuma demu wangu anakunjwa live kwenye gari mhhhh!Huwezi hata ongea nae milele nakuhakikishia!Nyie mnaosema sijui ukae kinywa umuache ila ww endelea na yako HAMJAWAHI kutwa na kadhia hii
 
Pole kwanza chief kwa mkasa mzito uliokukuta wakati ukiwa chuoni
Sasa wewe ikikukumba next time kadhia kama hii fanya kama bandiko lilivyo utakuwa umemaliza mchezo na kidonda kinapona hapo kwa hapo
Huwezi waza kujiuwa au kuuwa kamwe
 
Kabla ya kuadhibu nafikiri bora tukajikagua sisi wenyewe...kama tuko safi...tuwaache waendelee na uzinifu wao...kama sisi wenye hatuko safi....tujipime kama tuna uwezo wa kuwakosa..kama hatuna uwezo....wache tuendelee kuishi maisha ya kimbwa...Jike moja..madume kibaoo...si mnajua Mbwa akiwa na shurufu?..hakuna haja kumpiga...ni muendelezo wa yale tulio yaanza
 
aaah wapi bora huo mda wa kuumia nijitundike viroba tu
miss chagga kunywa viroba ni kukuza tatizo sio kupunguza tatizo
Tena ukizidisha viroba unaweza hata kujitoa roho
Nakushauri ukikumbwa na tatizo hili dawa ni badiko lililopo hapa kama lilivyowasilishwa
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wengi wanapobaini kuwa wapenzi wao wanawasaliti, hutunisha misuli kuonesha umwamba kwa kuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia mbaya wale waliowanasa.

Lakini uchunguzi niliofanya unaonesha kuwa ubabe haukomeshi tabia ya usaliti.Kuna wengi ambao waliwafumania wake zao, wakawapiga na kuwajeruhi, lakini wakajikuta hawakukomesha tatizo,

zaidi ya kuwapa usugu wapenzi wao wa kuendeleza wizi tena kwa dharau na kejeli huku wakibembelezana kwa maneno haya: “mzushi kaenda kazini njoo sasa hivi Wapendanao Gesti” au “vipi yule bwegge alikuuliza jana ulipochelewa kurudi” Jamaa anaweza kumuuliza hivyo mke au mpenzi wa mtu.

Adhabu nzuri ya mpenzi anayekusaliti ni kumnasa live kwenye usaliti wake kisha kumpuuza huku wewe ukiendelea na mambo yako kama kawaida, ukifanya hivyo utakuwa unamtibu ugonjwa wake wa kupenda penda hovyo na hii ndiyo dawa hasa ya kumponya msaliti, lakini pia inasaidia kupunguza maumivu ya penzi. Kumchunga na kumlilia machozi hakusaidii.
Karibuni!
Me nikimkamata tunapeana mkono wa kwaheri!sio rahc uishi na mtu kwa mashakamashaka.
 
Mbona mnaongelea upande mmoja tu? na mwanaume akifumaniwa iweje?

kuna mwanaume alifumaniwa na mkewe .............

wife hakufanya chochote , tena akakafulisha shuka huyo binti akamsindikiza mpaka hosteli, yeye akarudi zake home kulala bila bifu lolote.

baada ya siku mbili jamaa akaenda kujishitaki kwa baba yake mzazi , nanukuu kauli " Mama John kanifumania halafu hajaniambia chochote , naomba umuite uongee naye"
 
Dawa pekee ni kupiga chini...na kusonga mbele na maisha..hakuna mtu aliyezaliwa na mpenzi wake...Ipo siku mungu atajibu maombi yako kwa kukupatia chaguo sahihi. Piga chini...life..goes on!
 
kuna mwanaume alifumaniwa na mkewe .............

wife hakufanya chochote , tena akakafulisha shuka huyo binti akamsindikiza mpaka hosteli, yeye akarudi zake home kulala bila bifu lolote.

baada ya siku mbili jamaa akaenda kujishitaki kwa baba yake mzazi , nanukuu kauli " Mama John kanifumania halafu hajaniambia chochote , naomba umuite uongee naye"

Hahahah,,dah yan haiwez kupita siku bila kucheka kwa nguvu nkipitiaga JF,,hyo nukuu imeniacha hoi kwa kwel,, jamaa likaenda kujishtaki,liliona wife anaeza akamtoa roho kimya kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom