Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Nilifumaniwa na gf wangu wakat nilimdanganya kuwa niko kazn kumbe nmeenda guest na kimada. Mtoto wa watu hakuongea kitu alinitazama usoni kwa nusu saa na akarudi kwao kesho yake akaja gheto akaniuliza habar za kaz sikuwa na lakujibu akazidi kunitazama uson, baadae akanipikia msosi japo sikula akataka mchezo nikagoma.
Akasema uwe na aman nmekusamehe ila sitakuamin. Najua anatafuta target ya kulipiza ila aangalie mm sitakuwa na msamaha
 
Tunatofautiana katika kudeal na matatizo mbali mbali, but kwa upande wangu sijui nitafanyaje hata sipati picha, yaani niwaache waende free tu??? C'mon guys kweli itakuwa haki hapo? Hakyanani hutakuwa umeitendea haki haki yako.
 
Mkuu kuchangumu ni wachache sana wanaweza kutoa hiyo adhabu. Maana mda huo mtu hafikirii vizuri labda liwe jambo ambalo umelifuatilia kitambo ushakuwa na mpango.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuchangumu ni wachache sana wanaweza kutoa hiyo adhabu. Maana mda huo mtu hafikirii vizuri labda liwe jambo ambalo umelifuatilia kitambo ushakuwa na mpango.
kijani11 ni kweli ila ukiweza kutumia njia hiyo unafuta uzalilishaji wote mtu aliokufanyia
 
Last edited by a moderator:
Nilifumaniwa na gf wangu wakat nilimdanganya kuwa niko kazn kumbe nmeenda guest na kimada. Mtoto wa watu hakuongea kitu alinitazama usoni kwa nusu saa na akarudi kwao kesho yake akaja gheto akaniuliza habar za kaz sikuwa na lakujibu akazidi kunitazama uson, baadae akanipikia msosi japo sikula akataka mchezo nikagoma.
Akasema uwe na aman nmekusamehe ila sitakuamin. Najua anatafuta target ya kulipiza ila aangalie mm sitakuwa na msamaha

hahahha eti aangalie mi sitakuwa na msamaha,....omba samahni kabla hujatiliwa sumu ohooo
 
Adhabu nzuri sana hii lkn ukiitekeleza wewe sio ufanyiwe ww.
 
Mi inategemea na nakupenda kiasi gani....ila huyo mwanamke ama zake ama zangu
 
Nakumbuka hi ilishatokea mwnake alifumaniwa namme wake alikuwa mwanajeshi yule mwanaje akumfanya kitu chochote mkewake zaidi yakumwambia nimekusamehe mama nibahati mbaya tu imetokea basi yule mwanamke alikusanya nguozake akarudi kwao jamaa alivyo rudi hakumkuta ikabidi amfuate kwao akawambia wazazi wamwanamke jaman naombeni mkewangu arudi yule mwanake akasema sirudi n'go naogopa wazazi wake wakamliza kwan kunanini akashindwa kujibu basi wakamliza yule mmewake kwann umefanya nn mwezako jamaa ajibu sijamfanya chochote mkewangu naninampenda sana.inamanisha kukaa kimya niadhabu kubwa sana coz mtu anakuwa anakosa aman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom