Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Hahahah,,dah yan haiwez kupita siku bila kucheka kwa nguvu nkipitiaga JF,,hyo nukuu imeniacha hoi kwa kwel,, jamaa likaenda kujishtaki,liliona wife anaeza akamtoa roho kimya kimya

usifanye mchezo ndugu na vitu vya kimya kimya.......
 
bora kumuonesha ubabe maana kuna remit ndani yake kuliko kumsusia kisha karoho kauna upande
 

Attachments

  • 1402169263713.jpg
    1402169263713.jpg
    54.6 KB · Views: 129
unanikumbusha story fulani hivi,,,,"jamaa kamfumania mkewe na hakufanya chochote na aliendelea kuwa kawaida kama hakuna kilichotokea, sasa wakati wa kulala umefika mjamaa kapanda kitandani lakini mke anajizunguusha tu, kama utani vile jamaa akaanza kukoroma,,,,hahahaha mwanamke si yakamshinda kuvumilia bwana acha aanze kumtikisa mmewe,,,amka amka unipige haiwezekani unifumanie halafu uniache haiwezekani au unataka nilale uniue,, nipige nasema nipige yaishe kama hutaki narudi kwetu,,,hahahaha kilichoendelea hata mimi sijui ila usiombee ufumwe halafu aliyekufuma anauchuna.

kwi kwi kwi kwi oho oho !!!!!!
 
hii adhabu ni mbaya sana kuna mama mmoja jirani yangu alikimbia ndoa yake ya miaka 10 baada ya kufumaniwa na mumewe hakuuliza chochote sanasana akazidi kumpenda aliondoka mwenyewe mpaka leo hajarudi

Never underestimate the power of "silence".
 
Kuna mwanamke ilimtokea hiyo akawa anakosa usingizi. Kila mwanaume akiamka usiku mwanamke anapiga kelele "Anataka kuniua!"
 
Haikama. Yesu na Maria! Kumbe Manka nawe wajua hiki kibantu? Kwani we mchaga kweli au wa kwetu?

ahahahaaaa mamii mchaga mshua wa kukajha kyela kasala ndani huko ahahahaaaa
 
safi sana... una mpa psychological torturing, physical inapona baada ya mda tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom