Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288

kaka ni bongo hí hii. Sijategemea kama watu wanaweza kuwa na roho mbaya hvyo. Dah!

Moshi huko kibosho walimkamata wakamuingizia spok ya baiskeli kwenye uume mpaka leo nikikumbuka nasisimka lool

Mapenzi yanaRun Dunia..........

Mapenzi yanaRun Dunia..........

dah! uskuje tena gesti kesho! hii sredi imekata mzuka woteSiku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?
Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?

ashadii ukishafumaniwa huna ujanja lazma utulie!

hahahaha! Je ungemuona huyo mtu mwenyewe si ndio ungefuka kwa kicheko!
Mi nilijua mtu mzima ametoka kutahiriwa kumbe kimenuka.lol.
kitu "tego" .....sijawahi shuhudia huwa nasikia, it seems huwa inatokea kiukweli...kule mtwara ufumaniwi wala nn. Ila unanasiana kama mbwa wanavyojigjig mpaka mwenye mzigo aje ndo unachomoka