Adhabu hii ni kali sana nyie wanaume!!!

mtumish wa mungu toka lini akazini?

Mimi siendi gesti kuzini, nakwenda kuwapa mawaiza kondoo waliopotea na kutoa mapepo wachafu! juzi tulitoa mapepo 6, mapepo mawili yalikuwa mashoga!
Dah! tuna kazi kweli watumishi wa Mungu wallahi

hahahaaaaaa Husninyo jamani mbona unamtisha klorokwini? Akikatwa masaburi kukaa tena basi.....itabidi awe mtoa hotuba tu

hahahaaaaaa Husninyo jamani mbona unamtisha klorokwini? Akikatwa masaburi kukaa tena basi.....itabidi awe mtoa hotuba tu
hehehe mchina hauzi masaburi? kuanzia leo nimemban Husninyo PM (shahidi wewe)

Nilisoma yahoo siku moja kuna baba maarufu alikatwa na mkewe baada ya kumkanya aache uzinzi asikii. Ila kwa wenzetu bwana walikirudishia hospital na sasa anacheza movie za wakubwa maana kageuka dili.

Mwanamke alipata msamaha baada ya kutetewa na wana harakati kuwa mmewe alimfanya awe kama chizi kwa umalaya.

Hiyo issue ilizua debate kubwa nchi zilizoendelea kuhusu mambo ya gender na haki za wanawake. Wanaume walikuwa wanamtetea mwanaume mwenzao; wanawake wanamtetea mmama aliyekata kidudu.

Mimi siendi gesti kuzini, nakwenda kuwapa mawaiza kondoo waliopotea na kutoa mapepo wachafu! juzi tulitoa mapepo 6, mapepo mawili yalikuwa mashoga!

Dah! tuna kazi kweli watumishi wa Mungu wallahi

mmmh! Hakika ni husninyo tu ndio atauonja ufalme wa mbinguni huku kloro akimuangalia tu. Haleluya!!

hahahaaaaaa Husninyo jamani mbona unamtisha klorokwini? Akikatwa masaburi kukaa tena basi.....itabidi awe mtoa hotuba tu

simtishi ila awe makini. Hata posts zangu asiquote maana jamaa atamwagia tindikali.

Nilisoma yahoo siku moja kuna baba maarufu alikatwa na mkewe baada ya kumkanya aache uzinzi asikii. Ila kwa wenzetu bwana walikirudishia hospital na sasa anacheza movie za wakubwa maana kageuka dili.

Mwanamke alipata msamaha baada ya kutetewa na wana harakati kuwa mmewe alimfanya awe kama chizi kwa umalaya.

Hiyo issue ilizua debate kubwa nchi zilizoendelea kuhusu mambo ya gender na haki za wanawake. Wanaume walikuwa wanamtetea mwanaume mwenzao; wanawake wanamtetea mmama aliyekata kidudu.

dah! Huku ishu kimya kimya hata polisi sidhani kama ameenda.

Mara nyingi watu wanaopenda wake za watu huwa wameshaonywa mara kadhaa tena wakati mwingine pande zote mbili ila kwa kujifanya wao wajuaji hujificha zaidi na kujiona wajanja kumbe wamekwisha wekewa mtego pole kwa aliyepoteza kidudu chake.

Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!

Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?

Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?

wake za watu ni sumu..

Kwani hukusikia ya kule Babati mkoani Manyara. Kijana alikatwa uume na jopo la akina mama kwa kuwa alikithiri kubaka mabinti zao na kila akipelekwa Polisi anaachiwa. HUKUMU PAPO KWA HAPO. SAFIIIIIIIIIIIII.

Na mke alikatwa nini kama kweli justice ilifata mkondo wake au aliyezini ni mwanaume!

Wengi wanajuaga huyu ni mke wa jirani au mtu
wao wanawakata tuu
unadhani raha kitu yako kukwanguliwa?

jamani vijana jaribuni kufanya uchunguzi kabla ya kujirusha na mijimama ambayo tayari imefanyiwa investment na waume zao.

Matokeo yake ni madhara makubwa kama hayo.

Ikiwa kiungo cha mwili kinakusababishia kuingia dhambini kikate na kitupe. Ni heri kuingia kt ufalme wa Mungu ukiwa na viungo vya mwili pungufu kuliko kuingia jehanamu milele. Aliyemkata alimsaidia tu huenda aliyekatwa hakufunuliwa akaelewa hiyo haya.

hapo umechangia point. Huwa ukijisahau unatoa point kumbe.

Back
Top Bottom