Adhabu hii ni kali sana nyie wanaume!!!

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?

Ni Bongo au aurabuni? Kama bongo bac wa2 wamechoka. Kimsingi wote wana makosa ila kosa la ugoni ni la madai 2 wala halifungi, kumkata jamaa uume ni shambulio la mwili so ni jinai na linafunga!

kaka ni bongo hí hii. Sijategemea kama watu wanaweza kuwa na roho mbaya hvyo. Dah!

Huyo aliyefumania lazima atafikishwa mahakamani.

Swali la nyongeza,itabidi Hus uniambie baadae hii habari uliipata kama nani ? presha imepanda hapa lol!

Kuna jamaa nilimuona kapigwa shoka la Kichwa, kisa fumanizi nilimuonea Huruma sana.

Hizi kesi za fumanizi nyingi ni za kuhuzunisha sana. Kuna moja baba mmoja aliwekewa mtego Kisha kapewa mabauncer waka msodomise Then picha zikabandikwa mtaani kule mjini moshi. yaani we acha tu.

Mapenzi yanaRun Dunia..........

kule mtwara ufumaniwi wala nn. Ila unanasiana kama mbwa wanavyojigjig mpaka mwenye mzigo aje ndo unachomoka

Swali la nyongeza,itabidi Hus uniambie baadae hii habari uliipata kama nani ? presha imepanda hapa lol!

presha isipande bwana, nilikuwa hosp halaf mgonjwa aliletwa na piki piki. Kweli duniani kuna mateso.

Ikiwa kiungo cha mwili kinakusababishia kuingia dhambini kikate na kitupe. Ni heri kuingia kt ufalme wa Mungu ukiwa na viungo vya mwili pungufu kuliko kuingia jehanamu milele. Aliyemkata alimsaidia tu huenda aliyekatwa hakufunuliwa akaelewa hiyo haya.

Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?

Si afadhali huyo aliyefumaniwa "red-handed". Kuna wengine ninaowafahamu wameadhibiwa kwa kudhaniwa tu wanatembea na wake za watu!

Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?
Nadhani hapo mwenye kosa ni yule "aliyesababisha" kukatwa uume kutokana na uroho wake.

Mwanza huko alitiwa mtu pilipili za ukeni na kuchanjwa hatari tupu.... mtu anashindwa kweli kutafuta mwengine mpaka kuharibiana zana?

Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?
Mbona umeanza kwa kuwashutumu wanaume, utajuaje ni mwanamke wake ndo kafumania akaamua kukata iyo mashine??

ni mwanaume kafumaniwa na kakatwa na mwanaume mwenzie.

Mwanza huko alitiwa mtu pilipili za ukeni na kuchanjwa hatari tupu.... mtu anashindwa kweli kutafuta mwengine mpaka kuharibiana zana?

duh! Inaelekea mwanza ndio zao. Maana huyu nae ni wa huku huku mwanza.

Dah hii kali ila sio siri wake za watu wengine wanasumbua sana hasa wakiona uko single and smart ila muhimu ni msimamo binafsi

Back
Top Bottom