Aden Rage: Mwigulu Siyo msemaji Wa Lowassa

.
Uwezo unao mkuu ila hutaki kuutumia kwa makusudi tu! Mtu kama wewe unajiondolea uwezo ina maana unawapa uwezo huo kina Ndenshao wa Kishumundu? Think twice my dude.
.



Wewe ndiye ambaye hujui mwenzako anachoongea anakijua vema...
Ni Vigumu sana kuwachanganya Watu wa CCM katika mbinu za kawaida...
Hata baada ya kusikia maneno haya,ambayo hatuna credible source....si ajabu credible source zitakapokuja kuwauliza kama haya yanayoandikwa hapa ndiyo waliyosema,wote watakataaa...
Hata kama watakubali....NENO moja tu kutoka kwa |Mkuu wa Chama litatosha kuwafanya waache kulumbana.
Hivyo....mwenzako Mwanakijiji analitambua vema hili...ndio maana ana "wish"....

CCM wako sehemu ambayo kuna njia moja tu ya kuwachanganya....

Ni kuendelea kumsifia Lowasa kila uchao...kila uchao.....
Ingawa inaweza isisaidie....lakini hiii ni njia bora ya kuififiisha CCM kuelekea siasa za 2015
Sijui itakuweje lakini....manake nikikumbuka Kikwete alivyonyamazishwa ile 1995.....Sitta alivyonyamazishwa ile 2005....nina wasiwasi kwamba hata Lowasa akisifiwa,alafu CCM wakaja na kete ya "kukata mzizi wa fitna",ishu itakuwa nzito bado kwa wapinzani...

Ukweli ni kwamba,kama 2015 Uchaguzi Mkuu kutakuwa na CCM moja,basi Upinzani hauwezi kuchukua madaraka hata iweje,tena katika njia halali kabisa ya Kura...

Ili Upinzani uchukue madaraka,ni kuhakikisha kwamba kuna CCM mbili ama tatu!

Shida moja kubwa ni kwamba kuigawanya CCM ni kazi ngumu ngumu isyohitaji masikhara....
Ninadhani CCM ni Chama kijanja yawezekana kulivyo vyote Afrika

Unataka,chukua....Hutaki,Acha......
 
huwa hatuombeani mabaya lakini mh Lowassa kwa wanaomfahamu kwa sasa kiafya hayuko sawa hata kwa muangalia kama umepata kuwa karibu naye,na hadi 2015 hali itakuwa pengine mbaya zaidi.ndio maana naona kuwa kumdiscuss jamaa ni kupoteza muda
 
Mnaonyesha ni jins gani mlivyokuwa Mbugila..

Sawa.... Mimi Mbugila...

Lakini wewe Mbugila, Mama yako Mbugila, Mwalimu wako Mbugila......... So We ni Mbugila mpaka tiGO yako imechezewa na Mambugila Savimbi.....
 

Labda kama nchi hii ni ya baba yako ndio kutakua hakuna wa kumzuia.Matatizo tuliyo nayo leo hii ni kwasababu ya mtu huyu na kundi lake.
 
Mwanakijiji,

Sema kaka.Ndiyo tumemaliza kikao cha kamati kuu mda huu.

Tafadhali hiyo hoja ya kuwapiganisha akina Mwigulu usiiongee tena.Tutawasiliana zaidi kaka zaidi ya hapa.

Stay Blessed.

Mbowe alifanikiwa kukuingiza na wewe kamati kuu! kweli hicho ni chama chenu nimeamini.
 
Nani mbona siku hizi umekua muoga,ule ujasiri wako wa kumtaja moja kwa moja umeenda wapi au na wewe unakadi mbili kama yule mkubwa fulani lakini wewe zako zote ni za ccm,uko wajuyu na uko kwa yule pia!
 
Ujenzi wa Babel ulikwama kwa sababu lengo lao lilikuwa tofauti na mapenzi ya Mungu kama hawa malengo yao yalivyo tofauti na mapenzi ya wananchi watakwama pia. Dalili ya mwisho (end of the end) ndio kama hivi kupishana lugha
 
piga ua,lazima mwakani 2014 maCCM yagawanyike, kambi ya lowas, kambi ya sitta, kambi ya membe...yana uroho sana wa madaraka...ugomvi wa panzi furaha kwa kunguru, Chadema ianze kupanga mapema safu za mawaziri.
 

Wewe inaonekana hata Lowassa humjui...........yeye amesema hanapesa wewe unatuambia anaingiza Shilingi (au sijui dola maana hujasema) 5,000,000,000 kwa siku!


 
na laana kuu iwafike wote wanaohusika..............
 

Mali zako zote.....unamanisha nn mkuu? Kumbe ukiwa na hela nyingi ndiyo kigezo cha kuwa Rais Tz!!!! JK alikuwa na nn zaidi ya watoto wengi lakini yupo ikulu!!! Toka kwa Zulu natal uje tuendeleze mapambano ya kumtoa nyoka pangoni.
 
Sawa.... Mimi Mbugila...

Lakini wewe Mbugila, Mama yako Mbugila, Mwalimu wako Mbugila......... So We ni Mbugila mpaka tiGO yako imechezewa na Mambugila Savimbi.....
Sasa Mungi kwanini matusi? Si utoe hoja Kama amekushinda ulale.....hata sisi ni vijana na tunaweza matusi mengi lakini sio ustaarabu kabisa. Jifunze kuwa mstaaarabu kaka, wee ni mtu makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…