Aden Rage aomba radhi; hakujua kama silaha iko kiunoni!

Mkuu, mpaka hapo ameshaharibu. Amesema kila siku akitoka nyumbani kwake anabeba silaha, ina maana anajilinda dhidi ya akina nani kwenye nchi yenye amani na utulivu? Au anapiga wake za watu miti, kwa hiyo anajua anaweza kukatwa kihwa saa yoyote coz wenye wake zao wamejua??
Katika tabia zote mimi huwa nachukizwa na tabia za uongo, huyu mleta mada ni mzushi, alichokisema Rage ni kwamba hakujuwa kama shati lake lilifunuka, na yeye kila siku akitoka nyumbani kwake bastola yake huwa ni lazima iwe kiunoni. Ila kuna kitu nimegunduwa yale mahojiano waliyarekodi hayakuwa live, kuna kauli Rage alikuwa ameanza kuongea hawa wapumbavu Kibonde&company wamekata yale mahojiano maana yangeibuwa mjadala mkubwa zaidi. Lakini wenye akili tumeshajuwa alitaka kuongea nini. Ilikuwa ni kauli ya kudefence zaidi kitendo chake lakini ni kauli yenye madhara makubwa sana kwa chama chake, maana ccm inahubiri Tanzania tuna amani huku viongozi wake wanapanda na silaha majukwaani.
 
Kama JK aliwaambia wezi wa epa warudishe pesa ili wasishitakiwe, haina ajabu huyu akaomba msamaha hivyo na tukaambiwa amekuwa muungwana hivyo yameisha. Si tulimsikia JK akimwambia Magufuli aangalie utu na si sheria katika kutimiza wajibu wake. Hii ndo CCM, utu badala ya sheria.
 
kesho atamfyatulia mtu kisha am-ditopile aombe msamaha!atasema hakujua kama ndani ina risasi na ameshaload.mwanzo wa 1 ni 0.
 
Mkuu, mpaka hapo ameshaharibu. Amesema kila siku akitoka nyumbani kwake anabeba silaha, ina maana anajilinda dhidi ya akina nani kwenye nchi yenye amani na utulivu? Au anapiga wake za watu miti, kwa hiyo anajua anaweza kukatwa kihwa saa yoyote coz wenye wake zao wamejua??
kitu ambacho nashindwa kuwaelewa watu wa Tabora hivi inakuwaje mpaka wanawapigia kura watu kama huyu Rage? Na swali hili nimewahi kuwauliza wapenzi wa Simba hivi wamekosa viongozi wamchaguwe huyu msomali? Jibu lao eti wanasema Rage anajuwa fitina za soka, ujinga ni mzigo unaoligharimu Taifa letu.
 
KWa maelezo hayo maana yake
  • Polisi inatakiwa wamuite wamuhoji kwa ufafanuzi zaidi
  • Ikiwezekana anatakiwa apimwe akili na msomgo wa mawazo na mengineyo.......
  • Anatakiwa asiwe na sifa tena ya kumiliki silaha ( kuna sababu zaidi ya tatu )
So kama Polisi hawajamuita kufafanua maelezo, Na aelze kwa nini sifa ya umiliki silaha isifutwe kwake then wasihstuke kusikia miaka ya mbele hiyo silaha imeshaua "viumbe" visivyo na na hatia kama tembo bila sababbu teh teh teh
 
Jamani jamani msikilize aden rage clouds
anaomba radhi ati akujua kama silaha ile iko kiunoni na amekuwa nayo tangu 1996
na hana rekodi yoyote kuhusu silaha ile..anasema anaomba radhi watanzania akidai
akufanya makusdi na hata yeye binafsi alipopanda kwenye jukwaa alishangaa ati mwenyekiti
wa ccm wilaya bw michael akimmfungua shati lake na kulifunika..na kusema baada ya kufanya
siasa zake alimaliza na baya anasema ameshangaa hata wana ccm wenzake akiwemo be michael
akumuweleza kwa nini alimfunga shati lile na yeye kuja kuona silaha ile kwenye mwananchi gazeti...
halafu kuna watu wanasema wana mbunge! Poleni
 
Jamani jamani msikilize aden rage clouds
anaomba radhi ati akujua kama silaha ile iko kiunoni na amekuwa nayo tangu 1996
na hana rekodi yoyote kuhusu silaha ile..anasema anaomba radhi watanzania akidai
akufanya makusdi na hata yeye binafsi alipopanda kwenye jukwaa alishangaa ati mwenyekiti
wa ccm wilaya bw michael akimmfungua shati lake na kulifunika..na kusema baada ya kufanya
siasa zake alimaliza na baya anasema ameshangaa hata wana ccm wenzake akiwemo be michael
akumuweleza kwa nini alimfunga shati lile na yeye kuja kuona silaha ile kwenye mwananchi gazeti

kwaa niaba ya watanzania mnasmaheje jamani??

Rage acha upuuzi!!!!!!!!!!!!!Inabidi usurubiwe tu. Hufai kabisa unasema uongo na Mungu atakulaani. Afadhali useme ukweli, we si unajidai muislamu mwema, sema ukweli utasamehewa. Ulaaniwe!!!!!
 
hili lizee hovyo sana hili..eti sikujua..pumbafu nini mbona hakusahau kuvaa suruwali
 
Kama kweli anaomba radhi akubali kuwa alijisahau ili tumsamehe watz kama kawaida yetu
Wewe ndio Rage nini???!!!
unaweza kubeba silaha ukajisahau??? unaweza usijijue kuwa unabeba silaha? tena ukiwa unaenda kwenye mkutano wa hadhara?? mkutano unaolindwa na vyombo vya usalama wenye silaha kubwa kuliko uliyobeba??

Kama hiyo ndio reasoning ya Rage, kama hapo ndio mwisho wa akili yake katika kutafuta jibu kwa watanzania, basi hao wananchi waliomchagua watakuwa vichwa vyao ni makasha matupu yenye matundu ya macho mdomo, pua na masikio!!!!
 
kitu ambacho nashindwa kuwaelewa watu wa Tabora hivi inakuwaje mpaka wanawapigia kura watu kama huyu Rage? Na swali hili nimewahi kuwauliza wapenzi wa Simba hivi wamekosa viongozi wamchaguwe huyu msomali? Jibu lao eti wanasema Rage anajuwa fitina za soka, ujinga ni mzigo unaoligharimu Taifa letu.

Bolded and red colour naomba nitumie kama signature yangu mkuu...
 
kwa hyo toka mwaka '96 anayo kiunoni mpaka hajui? Au alivyoenda tbr na silaha aliwaza nini?

Anyway napita tu siasa huwa inanipa hasira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom