Addo Shaibu punguza majivuno, wewe bado ni kijana katika siasa

Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..

Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.

Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.

Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Makatibu Wakuu wa vyama vyote vya siasa wana hadhi na mamlaka sawa.

Amandla...
 
Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..

Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.

Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.

Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Mbona unalalamika kama umebanwa na mlango, taja hapa hayo majivuno yake anayokuringishia tujadili kwa pamoja hapa kama yuko sahihi au sio sahihi., Katibu mkuu wa ccm naye ni binaadamu tu na binaadamu haachi weaknesses hakuna mbora duniani hii mbora ni Muumba Mbingu na Ardhi na kila kilichomo ndani yake.
 
Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..

Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.

Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.

Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Usije shangaa kesho unaanza kumpamba kwa kila aina ya ngonjera pale ambapo atahamia rasmi ccm.
 
Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..

Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.

Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.

Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
Heshima gani aliyo nayo katibu mkuu wa Ccm? Au labda kwa sababu ya kuendesha kwenye V8
 
...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!
Kwamba anajaribu kujifananisha na Binadamu mwenzake aitwaye Bashiru Ally?

Basi ni mjinga.

Who is Bashiru Ally mpaka mtu atamani kuwa kama yeye?
 
Hata mimi nimeshangaa sana, kwa mtazamo wa mleta uzi inaoneana anamuoa Bashiru ni so superior, kiasi kwamba watu wanataka kujilinganisha naye.
 
Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..

Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.

Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.

Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
hebu funguka tatizo nini??
 
Kama ni Muha hilo sio la kushangaza, mcheki hata yule dogo mwingine Abdul Nondo anajiona yeye tayari kashakuwa Mwanasiasa nguli.
Kiongozi mkuu wa chama anatoka kigoma, Katibu -kigoma , Mwenyekiti ngome ya vijana -kigoma, wanachama 60% kigoma, daah hiki ni chama mkoa au??

Sijui hawa jamaa wanataka kutupeleka wapi?
 
Back
Top Bottom