Addicted to Jamii Forum

Addicted to Jamii Forum

mdau ni kama yupo hostel, naona kama double-decker
 
Yaaan utafikiri tumelogwa humu,!!!siku jamii ikifungwaa watu wataenda kushtaki magogonii nakuambieeniiii
Ni zaidi ya kulogwa mkuu

Tutaanadamana

Nina uhakika hiki chombo hakitafungwa
 
Nina mpango wa kumwomba Invisible anipige ban ya miezi 2.
 
Tyta wewe huyo unatafuta picha za matukio tofauti
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom