Addicted to Jamii Forum

Addicted to Jamii Forum

Internet-cafe-village.jpg
 
Jiwe hilo limetupwa kizani likikupata shauri yako

Sio siri tuko wengi mimi mwenyewe akili haikufanya kazi kabisa, kila ukiingia pande nyingine unaona mihayo tu
 
Jiwe hilo limetupwa kizani likikupata shauri yako

Sio siri tuko wengi mimi mwenyewe akili haikufanya kazi kabisa, kila ukiingia pande nyingine unaona mihayo tu

teh teh teeeeeh.

Nimecheka sana.
 
Kweli tupu

Halafu na wewe unapendeza bila ya avatar

Mambo ya spana na fuko la vitendea kazi juu yanini tena?

Kazi na dawa mkuu.

Funga nati, kaza bolti tuweke ugali mezani.
 
Nilijua mimi mmoja tu

Kumbe wengi tuliathirika

Hapana chezeya JF bhana. Nikawa najiuliza hivi siku JF ife itakuwaje. Mda mwingine nilikuwa nikistuka pindi nikikumbuka ile kauli ya JK alipoenda kuzindua mtambo wa kucontrol mawasiliano. Nikahisi wameiblock JF japo kuwa nilikuwa napata tangazo lao, ila walikaa mda mrefu sana. Aikuwa kawaida

Kweli mkuu

Mimi mwenyewe nilikua nategea kila baada ya dakika thelathini nikizama chenga

Nikawa nafanya kila baada ya lisaa limoja nikizama chenga

Nikapotezea labda baada ya lisaa limoja na nusu kuingia chenga

Ikabidi nikubali matokeo kwa shingo upande
 
Yaaan utafikiri tumelogwa humu,!!!siku jamii ikifungwaa watu wataenda kushtaki magogonii nakuambieeniiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom