Addicted to "Bar Maids"

Addicted to "Bar Maids"

Mkuu kuna yule Enjo(sio Angel) alikuwa pale DECA INN Boko....akaja profesa mmoja akamzoa akamwachisha kazi na mimba juu....hajakaa vizuri akatinga dalali wa viwanja akamnunulia ka-Rav 4...yule prof kawa kama chizi manake alihama home kwa mazahausi akahamia kwa Enjo sasa hivi chumba yuko peke yake

Hii inanikumbusha miaka ya 94 pale Mwenge kulikuwa na baa inaitwa Igongwe - Honestly - Ma-Profesa wengi wa Chuo Kikuu walioa Ma-Bar Maid pale!
 
Hii inanikumbusha miaka ya 94 pale Mwenge kulikuwa na baa inaitwa Igongwe - Honestly - Ma-Profesa wengi wa Chuo Kikuu walioa Ma-Bar Maid pale!

dah, naikumbuka hii BE, Marehemu Dk. Remmy ndo ulikuwa uwanja wake wa nyumbani huu!!!!!!!
 
ni kweli kabisa BE, kuna wakati unajiuliza na kutafakari kuwa,
Laiti kiwango hiki cha uvumilivu kingekuwepo angalau kidogo tu kwa hawa wake zetu,
dunia ingekuwa mahali salama kabisa pa kuishi lol......

huo nao ni uvumilivu? damn!
 
endelea tu baba enoko. Ukishavuna matokeo uje utuhabarishe pia!
 
Mpendwa nilidhani uko Venezia.......hao jamaa ndio mabingwa wa kuchoma mbuzi 2011

Nitapatafuta hapo Venezia mpendwa..ila mie na mbuzi mbalimbali..K'moto ndiyo penyewe!
Haya karibu maeneo ya kujidai kivulini, sisimizi na migombani..ila mimi ni kula tu..naona kina baba enock wana agenda nyingine, mshahara lazima uteketee!!..
 
endelea tu baba enoko. Ukishavuna matokeo uje utuhabarishe pia!

Chupaku - Kila baa nzuri ina wahudumu wazuri - mimi najaribu kutafuta uhusiano katika ya BIA/NyamaChoma na Bar Maids!!

Kule Oceanic unakuta watu wamefurika kaunta siku akiwepo Arafa - akihamia kaunta ya nyuma nako kunafurika! Why?

There must be "something" that we are missing! or we are denying!
 
na ili uweze kuigundua hiyo something, ni vema kuwa nao karibu,
kuna potentials nyingine tunaziignore inevitably...lol........
 
Hivi kwa nini bar mpya inajaza sana kuliko ya zamani?Je ni kweli watu wanapitia kuangalia usajili mpya?Au maswala ya jiko nako kupima supu inachakachuliwa au lah?
Hahahaha! Usajili mpya unahusika sana.
 
yaani nakosa hata la kusema, haya bwana niwatakie kila la kheri tu.

Nyamayao - but why? Sidhani kama ni uzinzi - there is something more than that! Watu wanakimbiza magari kutoka maofisini katikati ya mji na break ya kwanza ni LAZIMA mojawapo kati ya sehemu zifuatazo:-

- Rose Garden
- Hongera Baa
- Meeda Bar
- Maryland
- Play Time
- Calabash
- The River Between
- Future Resort
- Stela Matutina
- Costi
= = = = = = = = =
- Tegeta Resort
- Madrid
- PK
- Uptodate
- BM
- By Night
- Why Not
- Zero
- KM
- Vero In
- Family Bar
- Zanzibar
- Fairway
- Nyamachabes
- Sugar Bay
- FyaTanga
- Etienes
- King Star
- Deca In
- Reina Park
- Oceanic
- Sia
- Santori
- Kibira
- Julevu
- Vigae/e.t.c

Why don't they go straight home? Just a Beer or there is also an hidden role played by Bar Maids?
 
Uzuri wa baamedi hawana wivu.

Unamkamata leo unamega........... kesho unamgawia rafiki yako..........Anamega.......... Nawe ukimkuta na jamaa yake, anakuunganishia kwa rafiki yake......unamega.....Mkikutana tena mnamegana............Maisha yanasonga mbele!

Akikuona na wife wako anauchuna kama hakujui!

Dah! Skuliment umeenda mbaaaaaaali saaaaaaaana! - Deep in deed...
 
Uzuri wa baamedi hawana wivu.

Unamkamata leo unamega........... kesho unamgawia rafiki yako..........Anamega.......... Nawe ukimkuta na jamaa yake, anakuunganishia kwa rafiki yake......unamega.....Mkikutana tena mnamegana............Maisha yanasonga mbele!

Akikuona na wife wako anauchuna kama hakujui!

Mhh kumegwa kote bado anaishi tu, sio kwamba ameshakuwa vipande vipande
 
Nyamayao - but why? Sidhani kama ni uzinzi - there is something more than that! Watu wanakimbiza magari kutoka maofisini katikati ya mji na break ya kwanza ni LAZIMA mojawapo kati ya sehemu zifuatazo:-

- Rose Garden
- Hongera Baa
- Meeda Bar
- Maryland
- Play Time
- Calabash
- The River Between
- Future Resort
- Stela Matutina
- Costi
= = = = = = = = =
- Tegeta Resort
- Madrid
- PK
- Uptodate
- BM
- By Night
- Why Not
- Zero
- KM
- Vero In
- Family Bar
- Zanzibar
- Fairway
- Nyamachabes
- Sugar Bay
- FyaTanga
- Etienes
- King Star
- Deca In
- Reina Park
- Oceanic
- Sia
- Santori
- Kibira
- Julevu
- Vigae/e.t.c

Why don't they go straight home? Just a Beer or there is also an hidden role played by Bar Maids?

sijui ilikuwa ni nini tu,
nitazunguka bar kibao, lakini bar ya mwisho lazima nigote hapo.......................
Nadhani hii post ya BE, leo imenipa jibu tosha kabisa...........
 
Uzuri wa baamedi hawana wivu.Unamkamata leo unamega........... kesho unamgawia rafiki yako..........Anamega.......... Nawe ukimkuta na jamaa yake, anakuunganishia kwa rafiki yake......unamega.....Mkikutana tena mnamegana............Maisha yanasonga mbele!Akikuona na wife wako anauchuna kama hakujui!
Na kwa sababu tunajua ni wagawaji nasi tunazingatia USALAMA KWANZA so tuko safe kuliko kwenye ooh! Sweet, honey,darling ambako tunajiaminisha usalama upo kumbe sometime kushaungua.
 
Hawa mabinti wana kitu ndani ya mioyo yao ambacho kinaweza kuwa cha manufaa sana katika mahusiano - Tatizo ni kuweza kufahamu nini walichonacho!

ni kweli kabisa BE, kuna wakati unajiuliza na kutafakari kuwa,
Laiti kiwango hiki cha uvumilivu kingekuwepo angalau kidogo tu kwa hawa wake zetu,
dunia ingekuwa mahali salama kabisa pa kuishi lol......

Waruhusini wake zenu nao wawe na vidumu muone kama watakua na wivu, yaani itakua ni burudani ukitoka na yeye anatoka kama wafanyavyo bar maids leo yuko na wewe kesho na mwingine kwa nini asivumilie? anavumilia cause na wewe unamvumilia yake.

ingawaje mnanisikitisha lakini hii imebidi nicheke ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.......

Mi sina mbavu kabisa, ingawa nimesikitika kidogo
 
Back
Top Bottom