Dar es Salaam. Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wameitaka Chadema itoe msimamo wake kuhusu kauli ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu kutaka jumuiya za kimataifa zisitishe misaada kwa Tanzania.
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan amesema kama huo hautakuwa msimamo wa Chadema ,Lissu anapaswa kuomba radhi.
Amesema kauli ya kutaka misaada isitishwe hailengi kuwatakia mema Watanzania.
"Tunadhani matatizo yetu ya ndani ni vema tukapambana nayo kuliko kutangazia ugomvi wako kwa mtu asiyekuhusu.’’
"Kwa kauli hii hizi za Chadema ni wazi wameshindwa mapambano ya ndani na sasa wanafikiria njia nyingine ambazo ni hatari zaidi katika nchi yetu,"amesema Hassan.
Amesema kama Chadema imeshindwa kupambana na CCM na Serikali yake ni wazi wawaeleze wafuasi wao kuliko kutoa matamshi ambayo yanahatarisha ustawi wa taifa
eti DOYO! kikwetu doyo ni sehem ya kutolea haja kubwa.
Shule ni muhimu sana bibie. Selikali ndio kitu gani?Kwamba chadema mmeshindwa kupambana na ccm na selikali yake?
......
Nyie misaliti mnaoshinda sebuleni kwa mifisiem mna la kusema kuhusu mapambano kweli!!??
Dar es Salaam. Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wameitaka Chadema itoe msimamo wake kuhusu kauli ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu kutaka jumuiya za kimataifa zisitishe misaada kwa Tanzania.
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan amesema kama huo hautakuwa msimamo wa Chadema ,Lissu anapaswa kuomba radhi.
Amesema kauli ya kutaka misaada isitishwe hailengi kuwatakia mema Watanzania.
"Tunadhani matatizo yetu ya ndani ni vema tukapambana nayo kuliko kutangazia ugomvi wako kwa mtu asiyekuhusu.’’
"Kwa kauli hii hizi za Chadema ni wazi wameshindwa mapambano ya ndani na sasa wanafikiria njia nyingine ambazo ni hatari zaidi katika nchi yetu,"amesema Hassan.
Amesema kama Chadema imeshindwa kupambana na CCM na Serikali yake ni wazi wawaeleze wafuasi wao kuliko kutoa matamshi ambayo yanahatarisha ustawi wa taifa letu.
ADC wamjia juu Lissu
Ni kikundi cha wahuniADC ni chama cha siasa au NGO
Nyie misaliti mnaoshinda sebuleni kwa mifisiem mna la kusema kuhusu mapambano kweli!!??
Wana criteria zao za kunyima misaada sio kwa kilio cha Lissu na chademaIko hivi,
misaada kwa wahisani hutolewa kwa nchi inayoheshimu demokrasia na haki za binadamu, nchi inayokandamiza haki za binadamu na demokrasia inanyimwa misaada ya wahisani, sasa ili Nduli aheshimu misingi ya haki za binadamu na demokrasia nchini anapaswa kunyimwa hisani zote na hao wazungu.
Hayawani ni wewe na wanaccm wote mnaohamaki baada ya kuona wazungu wanajulishwa kuwa hatustahili hisani kwakuwa serikali yetu inakandamiza haki za binadamu na kukiuka misingi ya demokrasia.
Demokrsasia + haki za binadamu = Misaada kutoka kwa wahisani.