ADC wamjia juu Lissu

ADC wamjia juu Lissu

Samahani bila kutoa mapovu waungwana wa ccm , chadema inawatakiwa wafanye nini ili waruhusiwe kufanya siasa na mikutano ya ndani na nje ? Maana inawezekana wanakosea ila hawajui. Ishu ya kuomba vibali wanaomba ila ma Rpc hawatoi na kuwanyima ,je wakinyimwa wafanyaje na kama hakuna sababu yoyote ya msingi ya kuwazuia?

Tutoe mawazo ya kujenga ,itasaidia kuondoa marumbano haya.
 
ADC wenge shauri serikali kufuata katiba, sheria, kanuni na miongozo mbalimbali lakini sio kuropoka huku mambo yanaendesha na mtu mmoja, wakati nchi inaongozo kwa mfumo! Watu wanafukushwa ovyo bila kufuata sheria, fuatine sheria hakuna wa kuhoji wa kulalamika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dar es Salaam.
Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wameitaka Chadema itoe msimamo wake kuhusu kauli ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu kutaka jumuiya za kimataifa zisitishe misaada kwa Tanzania.

Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan amesema kama huo hautakuwa msimamo wa Chadema ,Lissu anapaswa kuomba radhi.

Amesema kauli ya kutaka misaada isitishwe hailengi kuwatakia mema Watanzania.

"Tunadhani matatizo yetu ya ndani ni vema tukapambana nayo kuliko kutangazia ugomvi wako kwa mtu asiyekuhusu.’’

"Kwa kauli hii hizi za Chadema ni wazi wameshindwa mapambano ya ndani na sasa wanafikiria njia nyingine ambazo ni hatari zaidi katika nchi yetu,"amesema Hassan.

Amesema kama Chadema imeshindwa kupambana na CCM na Serikali yake ni wazi wawaeleze wafuasi wao kuliko kutoa matamshi ambayo yanahatarisha ustawi wa taifa

eti DOYO! kikwetu doyo ni sehem ya kutolea haja kubwa.
 
Kwamba chadema mmeshindwa kupambana na ccm na selikali yake?

......
Shule ni muhimu sana bibie. Selikali ndio kitu gani?
Mbona upo nnje ya mada dada?

Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
 

Dar es Salaam.
Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wameitaka Chadema itoe msimamo wake kuhusu kauli ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu kutaka jumuiya za kimataifa zisitishe misaada kwa Tanzania.

Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan amesema kama huo hautakuwa msimamo wa Chadema ,Lissu anapaswa kuomba radhi.

Amesema kauli ya kutaka misaada isitishwe hailengi kuwatakia mema Watanzania.

"Tunadhani matatizo yetu ya ndani ni vema tukapambana nayo kuliko kutangazia ugomvi wako kwa mtu asiyekuhusu.’’

"Kwa kauli hii hizi za Chadema ni wazi wameshindwa mapambano ya ndani na sasa wanafikiria njia nyingine ambazo ni hatari zaidi katika nchi yetu,"amesema Hassan.

Amesema kama Chadema imeshindwa kupambana na CCM na Serikali yake ni wazi wawaeleze wafuasi wao kuliko kutoa matamshi ambayo yanahatarisha ustawi wa taifa letu.

ADC wamjia juu Lissu
Nyie misaliti mnaoshinda sebuleni kwa mifisiem mna la kusema kuhusu mapambano kweli!!??
 
~~~>>>ADC ni chama cha kufa na kuzikana ama?,,
 
Baada use ADC, ACT bado Uvccm any time watakuwa on air
 
Ombaomba.jpg


Nimejaribu kutathmini kama uhusika wa kina Matonya na Makao Makuu ya Serikali kupelekwa Dodoma vinawiana ni jambo la makusudi au ni kiashiria cha tabia zetu za kupenda misaada na vitu vya burebure? Ninashangaa watu wanapotoa kauli za kupingana na mkuu wa Nchi, Tanzania si nchi ombaomba ni nchi tajiri jambo ambalo kiukweli kwa rasilimali tulizonazo zinathibitisha ukweli huo. Hiki alichokifanya Katibu Mkuu wa ADC kinaashilia umatonya bila tone la shaka ndani yake. Je kuombaomba na kuishi kwa misaada kunaweza kutukomboa kutoka katika lindi la ujinga na utegemezi? Je tutaendelea kuwa magoigoi hadi lini? Au Katibu wa ADC anafurahia anapopewa T-Shirt bila cha kumstiri nyeti zake au Chumvi bila kujua kitoweo gani atakikolezea chumvi hiyo?
Hivi tumefikia mahala pa kupagawa kwa ajili ya misaada? Ikiwa ndivyo je masharti ya misaada hatuyajui madhara yake? Na je ikiwa tunahitaji misaada kwanini tunakataa kile tulichokikubali mwaka 1992?
 
Iko hivi,

misaada kwa wahisani hutolewa kwa nchi inayoheshimu demokrasia na haki za binadamu, nchi inayokandamiza haki za binadamu na demokrasia inanyimwa misaada ya wahisani, sasa ili Nduli aheshimu misingi ya haki za binadamu na demokrasia nchini anapaswa kunyimwa hisani zote na hao wazungu.


Hayawani ni wewe na wanaccm wote mnaohamaki baada ya kuona wazungu wanajulishwa kuwa hatustahili hisani kwakuwa serikali yetu inakandamiza haki za binadamu na kukiuka misingi ya demokrasia.

Demokrsasia + haki za binadamu = Misaada kutoka kwa wahisani.
Wana criteria zao za kunyima misaada sio kwa kilio cha Lissu na chadema
 
Back
Top Bottom