maguniolaf
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 506
- 197
Viva wote ila kiboko yao uncle Magu, Mzee wa kurekebisha.Viva Lissu Viva Chadema, siku njema mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Viva wote ila kiboko yao uncle Magu, Mzee wa kurekebisha.Viva Lissu Viva Chadema, siku njema mkuu
utofauti uko wapi?Kuzungumza siyo sawa na kuropoka.
mbona fresh tu maana hata bosi wetu kuna kipindi alisema hataki misaada so tuifanye official tu....hivi vyama vya ruzuku havijui hata vinataka nini. ccm inapotupeleka tutaumia woote sio chadema du so lazima nguvu za nje ziwepo kumtisha kidogoa aachane na mienendo hii
Dar es Salaam. Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wameitaka Chadema itoe msimamo wake kuhusu kauli ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu kutaka jumuiya za kimataifa zisitishe misaada kwa Tanzania.
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan amesema kama huo hautakuwa msimamo wa Chadema ,Lissu anapaswa kuomba radhi.
Amesema kauli ya kutaka misaada isitishwe hailengi kuwatakia mema Watanzania.
"Tunadhani matatizo yetu ya ndani ni vema tukapambana nayo kuliko kutangazia ugomvi wako kwa mtu asiyekuhusu.’’
"Kwa kauli hii hizi za Chadema ni wazi wameshindwa mapambano ya ndani na sasa wanafikiria njia nyingine ambazo ni hatari zaidi katika nchi yetu,"amesema Hassan.
Amesema kama Chadema imeshindwa kupambana na CCM na Serikali yake ni wazi wawaeleze wafuasi wao kuliko kutoa matamshi ambayo yanahatarisha ustawi wa taifa letu.
ADC wamjia juu Lissu