ADC wamjia juu Lissu

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783

Dar es Salaam.
Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wameitaka Chadema itoe msimamo wake kuhusu kauli ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu kutaka jumuiya za kimataifa zisitishe misaada kwa Tanzania.

Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan amesema kama huo hautakuwa msimamo wa Chadema ,Lissu anapaswa kuomba radhi.

Amesema kauli ya kutaka misaada isitishwe hailengi kuwatakia mema Watanzania.

"Tunadhani matatizo yetu ya ndani ni vema tukapambana nayo kuliko kutangazia ugomvi wako kwa mtu asiyekuhusu.’’

"Kwa kauli hii hizi za Chadema ni wazi wameshindwa mapambano ya ndani na sasa wanafikiria njia nyingine ambazo ni hatari zaidi katika nchi yetu,"amesema Hassan.

Amesema kama Chadema imeshindwa kupambana na CCM na Serikali yake ni wazi wawaeleze wafuasi wao kuliko kutoa matamshi ambayo yanahatarisha ustawi wa taifa letu.

ADC ni chama cha siasa au NGO
 
Hoja kama za pany wanachadema msichangie hoja,wacheni mfis wachangie wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangekuwa wanakemea uonevu unaofanywa dhidi utu wa Mtanzania tungewawlewa. Lakini kwa wanachofanya hakuna utu wowote wanaoutetea zaidi ya kujidhihirisha wao ni nani
 
Nadhani hakuna haja ya kusikiliza speech za lisu maana yeye mwenyewe hajui ameongea nini maana aliona mic tu anaropoka chochote
 
Tatizo ni mtoa hoja au hoja yake?
CHADEMA ni muhimu ikajitenga na UHAYAWANI wa Lissu.

Iko hivi,

misaada kwa wahisani hutolewa kwa nchi inayoheshimu demokrasia na haki za binadamu, nchi inayokandamiza haki za binadamu na demokrasia inanyimwa misaada ya wahisani, sasa ili Nduli aheshimu misingi ya haki za binadamu na demokrasia nchini anapaswa kunyimwa hisani zote na hao wazungu.

Hayawani ni wewe na wanaccm wote mnaohamaki baada ya kuona wazungu wanajulishwa kuwa hatustahili hisani kwakuwa serikali yetu inakandamiza haki za binadamu na kukiuka misingi ya demokrasia.

Demokrsasia + haki za binadamu = Misaada kutoka kwa wahisani.
 
Mkubali tu kama hapa mpendwa wenu kachemka pasipo kuweka siasa. Kuendelea kumsapoti ndio ile kuonekana hayawani .
 
Back
Top Bottom