Adam na hawa walitenda kosa gani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adam na hawa walitenda kosa gani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 13, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,234
  Likes Received: 5,619
  Trophy Points: 280
  Kwa mnaojua na evidence wapendwa nimejaribu kuuliza baadhi ya wapendwa na wachungaji kila mtu ana yake nikaonaa nipate ufafanuzi hapa jf nilinganishe na walionijuza...ni kosa gan walifanya leo hii tunakufa???
   
 2. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Was sex the original sin? Many say yes, citing that in the Genesis account, the forbidden fruit (often referred to

  and pictured as an apple) in the Garden of Eden was a symbol of sexual relations, so when Adam and Eve

  sinned by eating the fruit, then the "sin" must have been a sexual one. Whether or not you are religious, many wonder if the concept of sex was the original sin has support from the Bible. To make an informed decision for yourself, this is a brief overview from the Genesis account of Adam and Eve, as well as secular and quotes from various religious sources.

  The early Church Father Augustine said sin had its beginnings in sexual desire on Adam's part. The magazine PsychologyToday said, "Adam's sin was carnal knowledge." Conversely, the Encyclopædia Britannica says that the "knowledge of good and evil" was "a classic expression for all knowledge." That would mean that God wanted Adam and Eve to be ignorant and that their sin was seeking to expand their knowledge.

  To take either or both of these authorities' statements as fact, it requires you to believe that God would create humans with both sexual and intellectual needs and then allow them no means of fulfilling those desires without incurring a death penalty. Do you find this consistent with the rest of the Biblical history of Adam and Eve?

  The law Adam and Eve broke is from Genesis 2:16, 17: "And the LORD God commanded the man, "You are free to eat from any tree in the garden; but you must not eat from the tree of the knowledge of good and evil, for when you eat of it you will surely die." (New International Version)

  Was that a veiled reference to sex? In Genesis 1:28 it says: "God blessed them and said to them, "Be fruitful and increase in number; fill the earth and subdue it. Rule over the fish of the sea and the birds of the air and over every living creature that moves on the ground." fruitful and become many and fill the earth." How were Adam and Eve to obey Genesis 1:28's command to be fruitful and increase in number without having sex?
   
 3. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Adamu na Hawa walikula tunda la mema na mabaya, hawakufanya uzinzi/sex. naongea hivi kwasababu Mungu alikuwa ameshawaruhusu Adam na eva kufanya sex kama mume na mke ili waende wakazaliane. tunda la mti wa mema na mabaya, mti huo upo hadi leo, ukisoma katika kitabu cha ufunuo, ktk Jerusalem mpya kutakuwa na mti wa uzima ambao utatoa matunda hada baada ya ulimwengu huu kupita. shetani analeta uongo kwamba walizini, lakini wangezinije wakati Mungu hakuwakataza kufanya tendo la ndoa? hatuhitaji mjadala wowote hapa kwasababu iko wazi kabisa hata kwa mtu ambaye hajaenda shule...NYINGI NI WAONGO KAMA BABA YENU IBILISI ALIVYO MWONGO, KWASABABU IBILISI NI BABA WA UONGO...
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  1. Hii mada ihamie JUKWAA LA DINI.
  2.Evidence pekee ni bible, ambapo kila mtu yuko huru kuisoma.
  Lakini bila hata kutafuta saana kuwa tunda la mti wa katikati ni dhambi gani, the theme lies on FACT THAT WALITENDA DHAMBI...Hilo ndilo kubwa, na si dhambi gani, maana dhambi zote zina uzito sawa mbele za MUNGU.
  Epuka dhambi, utakuwa umemaliza kial kitu!
   
 5. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Weldone. You have said it all. Tangu lini mme na mke wakahesabiwa dhambi kwa kufanya tendo la ndoa. Just a little commonsense should tell you that sex was not the issue. By the way, Mungu ndiye mwanzilishi wa sex na Mungu hazuiii watu kufanya sex (as long as ni mme na mke). SEX BECOMES SIN ONLY WHEN DONE OUTSIDE MARRIAGE.
   
 6. p

  pierre JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Why do yuo want to know ni tunda la aina gani?Kwani itakusaidia je katika mda ulio nao kwa sasa?Kiuhakika ni kwamba walikula tunda kabisa.Walikatazwa ili Mungu kuona utii wao.Tunda kama ilivyo kwenye biblia,tunda la Roho ni utu wema,fadhili,kiasi etc.tunda la mwili ni chuki,hasira etc.hili ndilo tunda walilokula.
   
Loading...