ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,444
- 119,028
= regulation
Hivi hata Kiingereza huwa mnazikosea "R" na "L" - Majanga
Sheria si msahafu, inaweza kutungwa leo, mwezi baadae ikaonekana ina mapungufu ikaboreshwa - kumbuka hilo.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Unatumia kibwagizo kizuri kweli faiza!!!