Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

tofauti ni kwamba Wiliam ye ni mbumbumbe wa kudumu.miaka 62 lakini kama bado yupo kwenye balehe

- Le mburulazzz hupiga sana kelele hapa na kuishi kupigwa kwenye uchaguzi kama Chalinze na Kalenga si unajua nani wamepigwa na maekelele kibao humu!!

Le Mutuz System
 
Jamani nimemshangaa sana Mh.Adam Malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua Sheria ya Manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.Ikumbukwe kuwa bunge imetunga Public Procurement Act No.7 of 2011 yenye Reguration ya 2013.Ambayo kwa mujibu wa tangazo la Dr.Likwelike wa PPRA,na Government notice no.445 of 13th December, sheria hii imeanza kutumika 15th December 2013.Sasa najiuliza je Malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?

Hizi nafasi za "SANDAKARAWE" zina matatizo sana. Wiki iliyopita nilimsikia Adam Malima, nikamshangaa! hivi kweli huyu mtu anajitambua achilia mbali kufahamu kwamba yeye ni waziri. Ni mtupu kabisa kichwani hajua hata basic sheria za nchi, no wonder alikutwa ni silaha ya kuwindia hotelini Moro. Akijibu swali la UDA, pamoja na mambo mengine alisema hivi " Nilimuomba Simon Group nyaraka za baraza wa mawaziri zilizomu idhinishia kumuuzia shirika la UDA, akawa hana" Just Imagine a minister hafahamu kwamba nyaraka za baraza la mawaziri ni CONFIDENTIAL na mtu yeyote kuwa nazo ni UHAINI na adhabu yake ni KUNYOGWA HADI KUFA.
 
mbumbumbu mwingine huyu hapa,hajui hata source ya umbumbumbu unaozungumzwa

ungejua hata iyo sheria ya manunuzi huku makazini wanaiita "sheria ya mnyika" baada ya kufanya amendiment ya vifungu vya sheria hiyo mpya kw 99%,sasa la saba wa namna hiyo si prof kwa ccm.....
 
ungejua hata iyo sheria ya manunuzi huku makazini wanaiita "sheria ya mnyika" baada ya kufanya amendiment ya vifungu vya sheria hiyo mpya kw 99%,sasa la saba wa namna hiyo si prof kwa ccm.....

umenikumbusha issue muhimu sana mkuu,ushiriki wa Mnyika kwny hyo sheria.sasa Malima hajui kama kuna sheria mpya,anadai sheria ni ya mda mrefu ifumuliwe
 
mbona hushangai slaa aliyekana kuwepo kwa kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama ambacho yeye ndo mtendaji mkuu?


HAYA NGOJA NISHANGAE URIDHIKE..... "Aaaaaaahhhhh!! duh"
 
- Hoja yake ya msingi ni kwamba Sheria ifumuliwe upya haifai, sasa kosa lake ni nini hasa?

Le Mutuz System


wewe kubwa jinga, huoni kasema sheria ni kongwe imekaa miaka 10?. Na imefanyiwa maboresho mwaka jana tu.
 
Hata mie naona ya kuwa amejitahidi. Labda mkuu Okwi katika hilo suala asemalo kama kapotosha. Nimejaribu kumlinganisha na mwenzie Mwigulu kwa kweli kamuacha mbali sana.
Mwiguli hoja zake sio constructive,yeye anajibu jumla jumla kama yuko kwenye mkutano wa siasa jukwaani. Halafu bado anaonyesha hana uelewa hata wa kile akizungumziacho ana changanyachanganya tuu.
Uteuzi wake una kasoro hasa katika kipindi hiki ambacho weledi unahitajika sana. Hivi kweli twaweza kumtuma Mwigulu atuwakilishe kwenye mikataba ambayo wenzetu wana watu wajanja sana?


Sent from my iPad using JamiiForums

Wewe si ni CHADEMA? Sasa tangu lini ukampenda mwigulu? Acheni unafiki, mwigulu ni kichwa ukiach siasa zake za uuaji
 
by mmaranguoriginal.;
wewe ndio unajua leo kwamba malima ni mbumbumbu



mmaranguOriginal miezi michache iliyopita ulikuwa na akili zako timu ila siku hizi akili umeiweka lumumba matokeo yake umebaki na box tupu la fuvuu!
 
Last edited by a moderator:
Future president mpumzishe mkuuu
Hivi ile kesi ya yule Changu wa kule Moro 'aliyedozi' naye kule hotelini Moro na kumkomba kila kitu including SMG yake ya 'kuwindia' hivi ile kesi ilishahukumiwa kule mahakamani Morogoro?
 
huyu muulizeni masuala ya silaha za ak 47,kusahau silaha mahotelini , machangudoa .....kuchukua mademu wa udom...cbe ,st john etc ...kwenda south africa kwa majina ya kufoji, kustua majani ......pete za majini...na unafiki wa kujifanya mtu wa swala ..
Msimuonee mtoto wa watu kutegemea makubwa kutoka kwake ....hamumtendei haki ..

Mkuu sio dem wa udom wa cbe alikuwa changu wa kahumba
 
Adam tatizo lake anataka kuwa kama marehem baba yake...kweli ni kuwa hata robo hamfikii Kighoma.

Mtoto wa marehem Kighoma aliyerithi ule ubongo nI yulr alitekuwa Marekani.

Kitu kingine kinachoniudhi na huyu adam yeye kila wakati anaongea Ki Spanish...na mijisim yake 6 sasa kwa nini asinunue sim 2 za tripo line

Mwisho zaidi mimi siwezi kum sapoti adam kwa sababu anaipenda sana Arsenal clabu ambayo.ni ya ma failures.

Adam njoo manyuuu

Chuki yako kwa arsenal itakupeleka motoni.
 
Jamani nimemshangaa sana Mh.Adam Malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua Sheria ya Manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.Ikumbukwe kuwa bunge imetunga Public Procurement Act No.7 of 2011 yenye Reguration ya 2013.Ambayo kwa mujibu wa tangazo la Dr.Likwelike wa PPRA,na Government notice no.445 of 13th December, sheria hii imeanza kutumika 15th December 2013.Sasa najiuliza je Malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?

= regulation

Hivi hata Kiingereza huwa mnazikosea "R" na "L" - Majanga

Sheria si msahafu, inaweza kutungwa leo, mwezi baadae ikaonekana ina mapungufu ikaboreshwa - kumbuka hilo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom