Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,982
Reaction score
134,116
Jamani nimemshangaa sana Mh.Adam Malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua Sheria ya Manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.Ikumbukwe kuwa bunge imetunga Public Procurement Act No.7 of 2011 yenye Reguration ya 2013.Ambayo kwa mujibu wa tangazo la Dr.Likwelike wa PPRA,na Government notice no.445 of 13th December, sheria hii imeanza kutumika 15th December 2013.Sasa najiuliza je Malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?
 
jamani nimemshangaa sana mh.adam malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua sheria ya manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.ikumbukwe kuwa bunge imetunga public procurement act no.7 of 2011 yenye reguration ya 2013.ambayo kwa mujibu wa tangazo la dr.likwelike wa ppra,na government notice no.445 of 13th december, sheria hii imeanza kutumika 15th december 2013.sasa najiuliza je malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?
huyu mayu muulize habari za kutembea na bastola 2,laptop mbili ,simu 4,m.4 dola m. 4 akiwa safarini morogoro hayo ni mambo makubwa sana kwake! Acha wazaramo wale bata ni muda wao kwani hautarudi tena!
 
mbona presentation yake naona ilikuwa nzuri tu? au labda sikuwa makini?
 
Kamanda sina tatizo na hilo,ila nilichoandika amepotosha jioni hii akijibu hoja za wabunge kama nusu saa iliyopita
 
huyu mayu muulize habari za kutembea na bastola 2,laptop mbili ,simu 4,m.4 dola m. 4 akiwa safarini morogoro hayo ni mambo makubwa sana kwake! Acha wazaramo wale bata ni muda wao kwani hautarudi tena!

Haaah,haa "Muntua" genge la wahuni limepewa wizara,
 
mbona presentation yake naona ilikuwa nzuri tu? au labda sikuwa makini?

Hata mie naona ya kuwa amejitahidi. Labda mkuu Okwi katika hilo suala asemalo kama kapotosha. Nimejaribu kumlinganisha na mwenzie Mwigulu kwa kweli kamuacha mbali sana.
Mwiguli hoja zake sio constructive,yeye anajibu jumla jumla kama yuko kwenye mkutano wa siasa jukwaani. Halafu bado anaonyesha hana uelewa hata wa kile akizungumziacho ana changanyachanganya tuu.
Uteuzi wake una kasoro hasa katika kipindi hiki ambacho weledi unahitajika sana. Hivi kweli twaweza kumtuma Mwigulu atuwakilishe kwenye mikataba ambayo wenzetu wana watu wajanja sana?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Jamani nimemshangaa sana Mh.Adam Malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua Sheria ya Manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.Ikumbukwe kuwa bunge imetunga Public Procurement Act No.7 of 2011 yenye Reguration ya 2013.Ambayo kwa mujibu wa tangazo la Dr.Likwelike wa PPRA,na Government notice no.445 of 13th December, sheria hii imeanza kutumika 15th December 2013.Sasa najiuliza je Malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?

- Hoja yake ya msingi ni kwamba Sheria ifumuliwe upya haifai, sasa kosa lake ni nini hasa?

Le Mutuz System
 
umesoma mistari mingapi katika bandiko langu?mana alichosema ni kufumuliwa sheria yenye miaka zaidi ya 10 akimaanisha sheria ya manunuzi ya 2004,wakati kuna sheria mpya ya 2011,na imeanza kutumika Decemba 2013
 
kwenye ishu ya UDA zaidi ya kutoa mapovu , hakuna lolote la maana alilosema .
 
umesoma mistari mingapi katika bandiko langu?mana alichosema ni kufumuliwa sheria yenye miaka zaidi ya 10 akimaanisha sheria ya manunuzi ya 2004,wakati kuna sheria mpya ya 2011,na imeanza kutumika Decemba 2013

safi sana .
 
Labda kwenye vikao vya mabadiliko ya sheria hakuwepo, alikuwa SA kupeleka twiga km co unga wa sembe.
 
huyu mayu muulize habari za kutembea na bastola 2,laptop mbili ,simu 4,m.4 dola m. 4 akiwa safarini morogoro hayo ni mambo makubwa sana kwake! Acha wazaramo wale bata ni muda wao kwani hautarudi tena!

umeaahau kuvaa mapete makubwa ktk vidole vyake.ha ha ha
 
Mimi naona Mh. Malima kajitahidi sana! Mwigulu ndo Bomu kabisa kwenye ile timu, yaani anajibu utafikri mkulima fulani kaibuliwa kijijini na kupelekwa kwenye mkutano! Jibu analitafuta karibia dakika nzima na akija kujibu anajibu kile kile alichosema muda mfupi uliopita. Hapa kwa ufupi ubongo wake hauna coordination na mdomo wake! Maana kukukukuku zilikuwa nyingi mpaka unatamani kuipiga teke TV yako! Waziri naye kazi yake kujichekesha tu utafikri anatongozwa! Kazi kweli kweli! Kati ya hao wote Malima ndo alipaswa kuwa waziri kamili, sauti yake angalau anapowasilisha inakuwa na command!
 
Mkuu kuwa na sauti ya ku command sio kigezo pekee cha kuwa waziri kamili,wote Mwigulu,Malima na hata mwanamke Saada mapovu yanawatoka tuu,hakuna la maana wanaloweza kutueleza wa Tanzania wa leo,Na huyo Zungu ndo kaongea ungese kabisa kuhusu sakata la UDA,
Watulie waone 2015 kitavonuka ndo akili zitawakaa watakapojikuta kwenye vizimba vya mahakama kisutu.
Mxuuuuuuuuuuuuuuu ccm...
 
Back
Top Bottom