Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

HATA MKUU WA KAYA ANALO PETE KUBWA,HAWATUFIKISHI POPOTE HAWA NI MUDA WAO WA MWISHo
 
Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.
1. Adamu malima kavaa pete
2. Dr slaa na ndoa yake
3. Kikwete anaoa kisiri siri
4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?

Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu

Audhu Billahi Minna Shaitwani Rajyim. Hunijui sikujui. "Hasbuna 'Llahu Wanee'ma L'wakil".
 
mchawi sana yule jamaa,wanaamini bila majini hawawezi kupata madaraka,ndio wanaotuletea mikosi
 
wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?
au ana maana gani kufanya vile?


Awahi ubalozi wa Uingereza Shoga/Basha.
 
Back
Top Bottom