Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
Wale madiwani wa Arusha nao mwanzoni walikuwa na msimamo kama huo huo wa Chagulani lakini leo wako wapi? Nakumbuka wambea walivyoitabiria Chadema kifo kama ingewatosa...walidai, kuwatosa madiwani wanne, thubutu! Haya historia yajirudia Mwanza, yetu macho...kwani hayo maamuzi slaa aliyachukua peke yake.? Kwanza huyu si ndio alisema yeye ni taasisi aonyeshe utasisi wake sasa.!
Ninachojua ni kuwa Chadema imevuka ile threshhold ya kutegemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu, si Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika wala Lisu ana ubavu wa kuisambaratisha sembuse Chagulani! Akina TUNTEMEKE wako wengi na watajaribu sana lakini...