Adam Chagulani (Diwani aliyetimuliwa CHADEMA) aanza kufunguka...

kwani hayo maamuzi slaa aliyachukua peke yake.? Kwanza huyu si ndio alisema yeye ni taasisi aonyeshe utasisi wake sasa.!
Wale madiwani wa Arusha nao mwanzoni walikuwa na msimamo kama huo huo wa Chagulani lakini leo wako wapi? Nakumbuka wambea walivyoitabiria Chadema kifo kama ingewatosa...walidai, kuwatosa madiwani wanne, thubutu! Haya historia yajirudia Mwanza, yetu macho...

Ninachojua ni kuwa Chadema imevuka ile threshhold ya kutegemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu, si Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika wala Lisu ana ubavu wa kuisambaratisha sembuse Chagulani! Akina TUNTEMEKE wako wengi na watajaribu sana lakini...
 
Leo niko kwenye mood nzuri ntachangia jumatatu

Mkuu kesho siyo yako!!

Una uhakika gani hiyo kesho utakuwapo? Mwaga maneno mkuu maana unaweza kufa na ujumbe wetu Mkuu ukatuacha kwenye mataa!!
 
Kwa hiyo Chagulani mbaya wake ni Dr Slaa. Haya bwana yeye si amesema ni taasisi? Kwa mwendo huu nadhani ndio asahau kabisa kuwa mwana Chadema tena. Asije siku moja akaenda kuwashika miguu watu huku analia kama alivyofanya mwenzie Kafulila kwa Mbatia
 
Huyu dogo amekuwa poyoyo sana ! Ngoja aje na waraka mwingine Tuone na Tuseme kitu kumuhusu
 
Chadema ni chama makini, hawaumi maneno, kumuonea mtu haya wala kuwa na yale mambo ya 'wakajipime'... Hii ishu inanikumbusha sakata la 'Babu' na Beckham & Ronaldo... Babu alisema hakuna mchezaji aliye 'juu ya Man U'...
 
Wale madiwani wa Arusha nao mwanzoni walikuwa na msimamo kama huo huo wa Chagulani lakini leo wako wapi? Nakumbuka wambea walivyoitabiria Chadema kifo kama ingewatosa...walidai, kuwatosa madiwani wanne, thubutu! Haya historia yajirudia Mwanza, yetu macho...

Ninachojua ni kuwa Chadema imevuka ile threshhold ya kutegemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu, si Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika wala Lisu ana ubavu wa kuisambaratisha sembuse Chagulani! Akina TUNTEMEKE wako wengi na watajaribu sana lakini...

Kaka subiri matokeo ya uchaguzi 2015 kama tutakuwa wazima tutaona saizi mapema sana kusema matokeo ya kufukuza madiwani.
 
Chagulani mi nakujua sana ache kujidhalilisha usiombe radii, maana slaa ameapa lazima wakumalizie chini ili wenje spite bila kupingwa 2015' nenda cuf au ccm au ccm . Tukupe ubunge. Achana na chadema Chama cha wachaga na wamburu. Ungekuwa MCHAga usinge fukuzwa. Nakufahamu ulivyokuwa mwancdm mtiifu lakini Ndio hivyo tena basi tena, kawasalimu, chezea Chaga na mbulu wewe .

Aoe au aolewe?!
 
Chadema ni chama makini, hawaumi maneno, kumuonea mtu haya wala kuwa na yale mambo ya 'wakajipime'... Hii ishu inanikumbusha sakata la 'Babu' na Beckham & Ronaldo... Babu alisema hakuna mchezaji aliye 'juu ya Man U'...

Kwa hiyo Dokta Slaa, ni Sir Alex?
 
Kaka subiri matokeo ya uchaguzi 2015 kama tutakuwa wazima tutaona saizi mapema sana kusema matokeo ya kufukuza madiwani.

Hivi kipindi tuliposhinda Arumeru, hawa madiwani walikuwa hawajafukuzwa?? Hacha kulea uzembe. Watu kama wewe ni dizaini ile, unagongewa demu wako, afu unajua, ila unaogopa kuachana nae, kisa anakupa ela ya kula. Utafikili wakati unazaliwa, uliandikiwa kuwa yeye ndiye atakulisha milele...
 
Tunaongelea issue ya Adam Chagulani, wewe unaleta stori za kuchukuliwa demu, kwa hiyo nyie Chadema kazi yenu kuchukuwa mademu wa watu ndiyo mnaona ujanja...jibu hoja ya msingi chalii yangu Lema, anaingia kwenye kamati kuu kama nani? Na kupitisha azimio Chagulani avuliwe uanachama.
 
  • Chagulani Adams

    Chagulani Adams
    Nipenda kutumia fursa hii kuwataarifu wapenzi wa mageuzi na wakweli wote kuwa sina mpango wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi kama maadui zangu wa kisiasa wanavyozusha kwenye mitandao ya kijamii kuwa nina mpango wa kujiunga na CCM ,

    niseme hivi sijawahi kuwa mwanaccm na kamwe sitakuwa mwanaccm mimi bado ni mwanachadema kindakindaki najipanga jinsi ya kuitafuta haki yangu nawaheshimu sana viongozi wangu wa chama hasa mwenyekiti F.Mbowe,Zitto kabwe Dr.Kitila ,na wote wanaopenda ukweli na siyo wafanyia kazi majungu HUKU WAKITAKA NAFASI NYETI NCHINI nimuomba MUNGU KUANZIA SASA WASIPATE NAFASI HIZO MAANA kama wanayafanya haya hawajawa na uhakiki wa amri kwa vyombo vya ulinzi vipi?

    wakijua wanausalama wanawalinda sipati picha MUNGU aepushe bali na balaa hilo,niseme binafsi nimesikitishwa na kuhusihwa na majungu kuwa nimeshiriki vitendo vya kifisadi na kukihujumu chama changu nilichokipigania siki zote tangu nikiwa chuoni hadi sasa nitaandika waraka mwingine kueleza kilichojiri na nini hatua inayofuta baadae tuko pamoja ukombozi wa taifa hili ni lazima kwa njia yeyote ile

Hii imekaaje DR. SLAA inamuhusu hii inaonekana ?
 
Tunaongelea issue ya Adam Chagulani, wewe unaleta stori za kuchukuliwa demu, kwa hiyo nyie Chadema kazi yenu kuchukuwa mademu wa watu ndiyo mnaona ujanja...jibu hoja ya msingi chalii yangu Lema, anaingia kwenye kamati kuu kama nani? Na kupitisha azimio Chagulani avuliwe uanachama.

Mkuu Zomba, nimeshakujibu hapo juu kuwa Mh. Lema anaingia kwenye hivyo vikao kama mbunge wa Arusha...
 
So Chagulani ana personal ishu na Dr. Slaa? Nimeona kama kuna deliberate omission ya jina la Slaa in his "list of people he respect" na pia akiomba Mungu (?) "....wasishike nafasi nyeti..."

If so then, he's commtting a political suicide. Why? Coz Dr. sio mtu wa kushughulika na personal vendettas bali national issues.
 
Mkuu pokea 'LIKE'...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom