Adaiwa kukamatwa kwa kuweka picha za "kudhalilisha" jimbo la Ndugai mtandaoni

Sad! Very SAD!

TAARIFA

Baada ya kusambaa picha zimionyesha vyoo chakavu na madarasa yenye msongamano wa wanafunzi kamanda wetu Farance The Digitall alipata vitisho kutoka kwa Mbunge wa Kongwa Job Ndugai ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania kuwa "anachokitafuta atakipata hivi karibuni kwasababu amekuwa akimwaandama kuanzia asubuhi hadi jioni".

Baadae mji wa Kibaigwa zilisambaa taarifa za France The Digital kutafutwa hivyo alihama nyumbani kwa sababu za usalama wake,akiwa mafichoni alipata taarifa za nyumba yake kuvamiwa na askari polisi wa Kongwa wakimtafuta bila mafanikio.....baadae walipigia simu ya wito wa kuripoti kituo cha polisi Kongwa jambo ambalo amelitekeleza leo J4.

Baada ya maohojiano kituo cha polisi kongwa wamemweleza kamanda France The Digital kuwa kosa lake ni kumkashifu Mh Job Ndugai hivyo wanamwamishia Mkoani Dodoma kwa RCO kwaajili ya mahojiano zaidi na wamemwambia hakuna dhamana.

Hivyo makamanda tuendelee kupaza sauti dhidi ya kamanda mwenzetu huyu wa Kibaigwa ili haki iweze kutendeka.

View attachment 1049128View attachment 1049129View attachment 1049130

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapiga picha hawa watoto kwa ruhusa ya nani ?
Tutampa kesi ya human trafficking

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Hizo ndiyo akili za Inzi wa kijani ukisema au kuandika ukweli wanasema wewe si mzalendo, akili za matope kabisa hawa wadudu.

Solution ya Hawa nzi wa kijani kutafuta ile dawa inaitwa ''DUDU MAGIC'' na kuwapulizia wote huenda ikawafyekelea mbali.
 
Muhuni ndugai kakunja pesa nyingi sana alipokuwa India lakini hakukumbuka hata vyoo vya shule jimboni kwake. Wahuni hawa hawastahili kuwa bungeni au Ikulu.

TAARIFA

Baada ya kusambaa picha zimionyesha vyoo chakavu na madarasa yenye msongamano wa wanafunzi kamanda wetu Farance The Digital alipata vitisho kutoka kwa Mbunge wa Kongwa Job Ndugai ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania kuwa "anachokitafuta atakipata hivi karibuni kwasababu amekuwa akimwaandama kuanzia asubuhi hadi jioni".

Baadae mji wa #Kibaigwa zilisambaa taarifa za France The Digital kutafutwa hivyo alihama nyumbani kwa sababu za usalama wake,akiwa mafichoni alipata taarifa za nyumba yake kuvamiwa na askari polisi wa #Kongwa wakimtafuta bila mafanikio.....baadae walipigia simu ya wito wa kuripoti kituo cha polisi Kongwa jambo ambalo amelitekeleza leo J4.

Baada ya maohojiano kituo cha polisi kongwa wamemweleza kamanda France The Digital kuwa kosa lake ni kumkashifu Mh Job Ndugai hivyo wanamwamishia Mkoani Dodoma kwa RCO kwaajili ya mahojiano zaidi na wamemwambia hakuna dhamana.

Hivyo makamanda tuendelee kupaza sauti dhidi ya kamanda mwenzetu huyu wa Kibaigwa ili haki iweze kutendeka.

Tusambaze kwenye magroup na zile picha za vyuo na shule ya Karume jimboni Kongwa.

Na Peter Chagga Jr.View attachment 1049158View attachment 1049159View attachment 1049160
 
Huu mfumo wa kuwasweka ndani waandishi wa habari si suluhisho la matatizo.
Kinacho hitajika ni kutatua kero zilizopo na si kuwanyazisha.

Kule Arusha kuna mwandishi aliwekwa ndani kwa amri ja mkuu wa mkoa akidaiwa kupotosha waru wakati ni kweli kulikuwepo na tatizo la watu kuumwa matumbo kwa ajili ya kutumia maji yaliyo chafuliwa
Wote hao sio waandishi wa habari kwa taarifa yako hawana press card na hawatambuliki na chama cha waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom