Adaiwa kukamatwa kwa kuweka picha za "kudhalilisha" jimbo la Ndugai mtandaoni

momaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
427
500
Sijaelewa mpaka sasa sababu ya huyu muandishi kushikiliwa na polisi,kwa kosa gani? Mbona mnaleta chuki zisizo na umuhimu kwenye jamii?tunakuwa kama binadamu tutakaoishi milele?
 

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,506
2,000
Ndugai hataki picha za mazingira ya Kongwa zisambae ili watu wasaidie watanzania wenzao kupunguza Hizi shida ? au anataka wananchi wake wawe tu ndani ya BOX milele ?
 

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,438
2,000
Ndu,gay kazi aliyo nayo Kwa sasa ni kupora Wapinzani ubunge , hayo matatizo ya Jimboni kwake kongwa kila mtu apambane Na Hali yake !!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,552
2,000
Watoto wapo kwenye ukumbi mdogo kwa ajili ya kupewa matangazo ya kufunga shule nyiye mnasema ati wapo darasani. Hapo ni wapi umeona mumko mkubwa hivi wa elimu Dodoma?? Lete habari ingine hii ni chai.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom