Adaiwa kukamatwa kwa kuweka picha za "kudhalilisha" jimbo la Ndugai mtandaoni

Tunanunua ndege kwa cash!

'.....Tembeeni vifua mbere nchi iko kwenye ze laiti traka..''Jiwe, 2018. Lakini ukiangalia uhalisia wa maisha unakuta watoto shule wanakaa chini au kukalia mawe/vigoda, walimu hakuna,madarasa hayatoshi,hakuna vyoo wala maktaba.
Watz inabidi tufikie hatua ya wenzetu wa SUDAN Kaskazini na ALGERIA ambao wameamua kuandamana kupinga UTAWALA WA KUDUMU WA Madikteta AL-BASHIR(miaka 30) na BOUTEFLIKA( miaka 20).

Utawala wa CCM leo uko madarakani kwa zaidi ya miaka 50 na nchi bado inapiga marktime Kiuchumi pamoja na Utajiri wa Raslimali za Asili ambao Mwenyezi Mungu alizoijalia Tanzania. Something must be done otherwize Mitanzania tunaonekana mindondocha isiyojitambua.
 
Hiki chama ni laana kwa watanzania!
 
TAARIFA

Baada ya kusambaa picha zimionyesha vyoo chakavu na madarasa yenye msongamano wa wanafunzi kamanda wetu Farance The Digital alipata vitisho kutoka kwa Mbunge wa Kongwa Job Ndugai ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania kuwa "anachokitafuta atakipata hivi karibuni kwasababu amekuwa akimwaandama kuanzia asubuhi hadi jioni".

Baadae mji wa #Kibaigwa zilisambaa taarifa za France The Digital kutafutwa hivyo alihama nyumbani kwa sababu za usalama wake,akiwa mafichoni alipata taarifa za nyumba yake kuvamiwa na askari polisi wa #Kongwa wakimtafuta bila mafanikio.....baadae walipigia simu ya wito wa kuripoti kituo cha polisi Kongwa jambo ambalo amelitekeleza leo J4.

Baada ya maohojiano kituo cha polisi kongwa wamemweleza kamanda France The Digital kuwa kosa lake ni kumkashifu Mh Job Ndugai hivyo wanamwamishia Mkoani Dodoma kwa RCO kwaajili ya mahojiano zaidi na wamemwambia hakuna dhamana.

Hivyo makamanda tuendelee kupaza sauti dhidi ya kamanda mwenzetu huyu wa Kibaigwa ili haki iweze kutendeka.

Tusambaze kwenye magroup na zile picha za vyuo na shule ya Karume jimboni Kongwa.

Na Peter Chagga Jr.View attachment 1049158View attachment 1049159View attachment 1049160
Katika watu siwaelewi CCM ni huyu NDUGAI,yani ni mpumbavu afadhali hata ya mjinga!
 
Mbona picha za kawaida tu

Uhaba wa madarasa ni kawaida tu

Polisi waache kutumika
 
Hii wala sio sisiem bali mtu na akili zake. Tofautisha makosa ya kisera na uzembe wa mtu
dah inasikitisha kweli.. Huwezi kuumaliza umasikini Tanzania huku CCM ikitawala au ikiwepo.

Binafsi nikipata mamlaka nitaifuta CCM na kuipiga marufuku kabisa na baadhi ya Majengo yake yatakuwa nyumba za ibada huku Jengo la Lumumba na Chimaga dodoma nitazifanya kuwa nyumba za makumbusho na alama ya ubaya uliotendwa kwa jamii ulipoanzia.
 
Natumaini hapa Mwandishi anamsaidia Mhe. spika kuwe na mabadiliko katika Idara ya Elimu kwenye Halmashauri yake na afanye afanye juhudi kwenyeBajeti ijayo 2019/20 mapungufu kama haya yaweze kupatiwa ufumbuzi.
 
TAARIFA

Baada ya kusambaa picha zimionyesha vyoo chakavu na madarasa yenye msongamano wa wanafunzi kamanda wetu Farance The Digital alipata vitisho kutoka kwa Mbunge wa Kongwa Job Ndugai ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania kuwa "anachokitafuta atakipata hivi karibuni kwasababu amekuwa akimwaandama kuanzia asubuhi hadi jioni".

Baadae mji wa #Kibaigwa zilisambaa taarifa za France The Digital kutafutwa hivyo alihama nyumbani kwa sababu za usalama wake,akiwa mafichoni alipata taarifa za nyumba yake kuvamiwa na askari polisi wa #Kongwa wakimtafuta bila mafanikio.....baadae walipigia simu ya wito wa kuripoti kituo cha polisi Kongwa jambo ambalo amelitekeleza leo J4.

Baada ya maohojiano kituo cha polisi kongwa wamemweleza kamanda France The Digital kuwa kosa lake ni kumkashifu Mh Job Ndugai hivyo wanamwamishia Mkoani Dodoma kwa RCO kwaajili ya mahojiano zaidi na wamemwambia hakuna dhamana.

Hivyo makamanda tuendelee kupaza sauti dhidi ya kamanda mwenzetu huyu wa Kibaigwa ili haki iweze kutendeka.

Tusambaze kwenye magroup na zile picha za vyuo na shule ya Karume jimboni Kongwa.

Na Peter Chagga Jr.View attachment 1049158View attachment 1049159View attachment 1049160
Zaidi ya uchawi ( rejea bundi bungeni ) Ndugai hana lolote lingine
 
Back
Top Bottom