Ada mpya za Bandari zimeanza kutumika tangu Machi 8, 2026. Ni mwendo wa kukamuliwa mpaka tujute!

Ada mpya za Bandari zimeanza kutumika tangu Machi 8, 2026. Ni mwendo wa kukamuliwa mpaka tujute!

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Kwenye gharama za Wharfage ndio kuna maumivu makubwa. Wharfage (tozo ya kutumia gati/bandari) imeongezeka karibia mara 5–7 zaidi ya ilivyokuwa mwanzo.

Kwa mfano, kama gharama ilikuwa 1,000 kwa kontena, now ni mara 5–7 yake. Kama mwanzo ulikuwa unapaswa kulipia 250,000 TZS, now jiandae kutoa kati ya 1,250,000 TZS hadi 1,750,000 TZS kwa tozo moja. Ni ongezeko la moja kwa moja kwenye gharama ya uendeshaji (Overhead costs).

---
Kutoka kwa mdau X

HII NI BALAA KUBWA SANA KWA WAFANYABIASHARA.

Tunaomba utusaidie kupaza sautiLeo TRA Wameamka na kupandisha kodi za wharfage gari ambayo ulikua unalipa tsh 230,000 leo wametoa control namba ulipie 1,200,000 anaconda ilikua inalipiwa 500k leo ni mil 3.4

Kusogezwa mbele Mamlaka ya Bandari yasogeza mbele kuanza kwa ada ya uendelezaji wa miundombinu bandari hadi Julai 1

Ba1.jpg
Ba2.jpg
Ba3.jpg
 
Shida huyu mama anapangwa/anapigwa saundi na wajanja ili apate mgao. Huyu mama uwepo wake unaligharimu taifa pakubwa.

Utabiri: Baada ya huyu mama kiondoka kutakuwa na skendo nyingi sana za rushwa na ubadhirifu, kuliko kipindi chochote nyuma.
 
Mistake ya Kwanza kubwa ambayo tumefanya kama nchi ni kumuita RAISI mama...
Mama atabaki kuwa mama Tu, hawa ni watu wa kukaa jikoni sio kuongoza nchi

Japo feminists wakisikia watamaindi, ila umama ni "point of weakness". Zamani sisi tukitaka jambo letu flani kisilo na maana kwa dingi, basi tunaanza mpanga mama kwanza. 😊
Wezi waliposikia Magu amededi, wakakomaa sana huyu mama achukue ili wawe wanampanga na kuiba.

Huyu mama ni kinyago tuu, wezi wamekichonga wala hawakiogopi. Ni kinyago chao. 😊
Duniani kote watu wanakomaa kupunguza gharama za huduma za msingi, bongo watu wanapambana kuongeza gharama za huduma za msingi.

Watu weupe walichimba Suez Canal, Corinthian canal ili wapunguze gharama za usafiri wa maji, bongo watu wanakomaa kuongeza gharama. Nchi ambazo hazina bandari (land locked), zinazotegemea bandari zetu, wakihama bandari tunanuna. 😁

Nchi ya kifala sana hii. 😊
 
Kutoka kwa mdau X

HII NI BALAA KUBWA SANA KWA WAFANYABIASHARA

Tunaomba utusaidie kupaza sautiLeo TRA Wameamka na kupandisha kodi za wharfage gari ambayo ulikua unalipa tsh 230,000 leo wametoa control namba ulipie 1,200,000 anaconda ilikua inalipiwa 500k leo ni mil 3.4
Taangu Lini TRA ikahusika na Wharfage??? Muwe mnasoma soma kwanza kabla ya kupost Upuuzi wenu TEC na CHADEMA mnafikiria kwa kutumia Makali tangazo limeandika TPA wewe unaleta TRA?
 
Kwenye gharama za Wharfage ndio kuna maumivu makubwa. Wharfage (tozo ya kutumia gati/bandari) imeongezeka karibia mara 5–7 zaidi ya ilivyokuwa mwanzo.

Kwa mfano, kama gharama ilikuwa 1,000 kwa kontena, now ni mara 5–7 yake. Kama mwanzo ulikuwa unapaswa kulipia 250,000 TZS, now jiandae kutoa kati ya 1,250,000 TZS hadi 1,750,000 TZS kwa tozo moja. Ni ongezeko la moja kwa moja kwenye gharama ya uendeshaji (Overhead costs).

---
Kutoka kwa mdau X

HII NI BALAA KUBWA SANA KWA WAFANYABIASHARA.

Tunaomba utusaidie kupaza sautiLeo TRA Wameamka na kupandisha kodi za wharfage gari ambayo ulikua unalipa tsh 230,000 leo wametoa control namba ulipie 1,200,000 anaconda ilikua inalipiwa 500k leo ni mil 3.4

View attachment 3555869View attachment 3555870View attachment 3555871
Pitishieni hayo magari Zanzibar
 
Back
Top Bottom