Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
afrod we ni kichwa.
Nakupitia baadae ila tukifika kwenye party usinitoroke..Cheers to the freaking new year. . .may it be waaaaaay better than the last!
Happy new year mpenzi. . . have a drink for me will ya!!!
Mkono wa Vai nimeanza kuhesabu kutoka kushoto...lolhahahhahah mkono wa VAi umeanza kuhesabu kutoka wapi >???
enjo hajambo huyu hapa..View attachment 44360
Boss we jiandae tu ukisikia honi ya gari nje we toka twende usiulize tunaenda wapi...wewe leo ni ku-party tu no questions regarding the destinationparty wapi jamani????lol
Here i am...its onThe finest u wapi jamani we si ndo mwandalizii..
Wewe unakuja saa ngapi uko tayari tukupitie...You too myn
party wapi jamani????lol
Mi niko barabarani tayari and mi ndio ntawapitia msijaliWewe unakuja saa ngapi uko tayari tukupitie...
EMT aisee ulikuwa umepotelea wapi Krismasi sikukuona kabisa...lol..yule mbuzi niliyekuwekea bahati mbaya ameishaliwaHapa hapa JF.
Nimeambiwa umeishaanza kunywa vinywaji vyetu usije ukatufikisha maboksi na chupa tupu tu...lolMi niko barabarani tayari and mi ndio ntawapitia msijali