AD & Friends..

EMT aisee ulikuwa umepotelea wapi Krismasi sikukuona kabisa...lol..yule mbuzi niliyekuwekea bahati mbaya ameishaliwa

Aisee kama yule mbuzi umemla mzima mzima then you're "unimportant, irrelevant and I will have an interest in increasing tensions with you or making you a bitter enemy." - per Ehud Barack. I am sure kidari huwa kinaliwa mwaka mpya.
 
Nimeambiwa umeishaanza kunywa vinywaji vyetu usije ukatufikisha maboksi na chupa tupu tu...lol
Hapana bado sijaanza kabisa kunywa nilikuwa naficha tu baadhi namiminina kwenye jug ntaanza kunywa mwaka mpya utapoingia
 
Thanks for the Best wishes of the NEW YEAR!

BTW: As usual Loves so much your graphics and the exploding fire works!(remember the promise?)

With that said?

ME: Wish You The Best Ever!, ... Year 2012!
 
Aisee kama yule mbuzi umemla mzima mzima then you're "unimportant, irrelevant and I will have an interest in increasing tensions with you or making you a bitter enemy." - per Ehud Barack. I am sure kidari huwa kinaliwa mwaka mpya.
Hahahahaha!! Mkuu sikuweza kuvumilia kwa kweli maana kila saa mate yalikuwa yananitoka kwahiyo nakula portion kidogo kidogo hadi ameisha....leo nitakuwekea mwingine tena..lol
 
happy_new_year_2012.jpg
 
Sweeeet!!!! im having a few for you at the moment hahahha bring on 2012!!!!! xx

Thank you darling.Mi nataka nirudi kulala cha mwisho mwisho mwaka huu ili mwakani nisiwe na usingizi sana.Lolzz.
Again. . . . hongera kwa kuuna mwaka, tutakutana huko in a couple of hrs.
 
Back
Top Bottom