Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,655
- 134,360
Kitendo cha JPM kutwaliwa ni kufutiwa kibali, kibali hicho akapewa Samia, ni uthibitisho Samia ni kibali Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!Kibari cha Samia nacho kimefutikaka japo jk na genge lake wanalazimisha kwa manufaa yao binafsi
It's important to approach such reflections with fairness, acknowledging both achievements and criticisms where appropriate.There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Absolutely. Balanced critique is key. Leaders, like all humans, have strengths and weaknesses. Recognizing both allows for honest historical reflection and helps citizens learn from the past to build better governance in the future.Mh! ukute nchi ndo haikumfaa nafikiri yule angekuwa kwenye nchi ambayo ipo serious angeifikisha mbali!, lakini alikuwa akipambania rasilimali hapohapo watu wa humuhumu ndani wanampinga!.
Mi naona kama nchi ndo haikuwa tayari kuwa na kiongozi wa namna yake maana imejaa wahujumu uchumi tupu!, hata hivyo nimeshangaa ulipoonyesha kama kifo ndio sababu ya yeye kuwa kama hitimisho la uongozi wake!. Ndugu sote tutakufa tu so please don't take it as a judgement.
Ni kweli kuwa wengi huamini kuwa mamlaka hutoka kwa Mungu, na kwamba kila kiongozi hupata nafasi hiyo kwa kibali chake. Hata hivyo, tafsiri ya "kibali cha Mungu" hutofautiana kulingana na mitazamo ya kiimani na kisiasa.Kitendo cha JPM kutwaliwa ni kufutiwa kibali, kibali hicho akapewa Samia, ni uthibitisho Samia ni kibali Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
Ila kwa mujibu wa hoja HII kibali chake kilikuwa mpaka 2025 tuu!.
Taarifa za kibali cha 2025 -2030 ziko kwenye mchakato!
P
He was himself a fisadi and thats why all tenders were not formal. He didn't foll the genuine paths on tendering.Actually he was not Presidential material because and sure that he knew how to dealt with MAFISADI NA WABADHIRIFU WA MALI ZA NCHI. 😳🙌🤷🏿♂️
Kitendo cha JPM kutwaliwa ni kufutiwa kibali, kibali hicho akapewa Samia, ni uthibitisho Samia ni kibali Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
Ila kwa mujibu wa hoja HII kibali chake kilikuwa mpaka 2025 tuu!.
Taarifa za kibali cha 2025 -2030 ziko kwenye mchakato!
P
Mwacheni apumzike Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniThere is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Hakuna raisi pale , pale kulikuwa na kiranja tuu
kura zinaibiwa , alafu mnasema mpango wa Mungu - nyi ni waumini wa namna gani wakuu?It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.
Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.
Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.
Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
- Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
- "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Mwisho Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.
Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.
Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.
Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
- Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
- "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Mwisho Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
madictator wote hawa dunia wanajipigia pasi kwenye uchaguzi alafu aje kusema wanatoka kwa Mungu -- huu utakua utapeli wa waziHaha! ndugu unahakika na unachokiandika..?
na vipi Mungu kwako ni nini na ni nani..?
hata shetani hausiki --- ni wao wenyewe tuPlease Pascal ,wacha kumsingizia mungu utapeli na wizi wa kura na kuuwa watu kupata madaraka. hapo ni shetani ndiye anahusika
hatari sana mkuu - kidumu chamaJapo wizi wa kura sio mpango wa Mungu ni mipango ya shetani, lakini ni Mungu tuu pekee ndiye huweka serikali za mataifa yote!, hivyo huruhusu mipango ya kishetani , viongozi wa kishetani na serikali za kishetwani!. Hata madikiteta kina Hitler, Iddi Amini na watawala wote hata wanaingia kwa wizi wa kura, au kwa Mapinduzi kama yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ni Mungu!.
P
unafikiri shetani ni nani ??hata shetani hausiki --- ni wao wenyewe tu
Watu wanateseka kwa sababu bado watu wameumizwa na yule firauni laanatullahi magufuli kuna waliofanywa vilema wa maisha kuna waliouliwa jamaa zao kuna waliovunjiwa majumba nkMpaka leo bado mnateseka na JPM tuu 😂