ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

Nchi wote waliosoma na wasiosoma akili Ni moja tuu. Mwezi uliopita CCM walitungazia wameshinda uchaguzi eti leo wameshindwa Tena 😂😂! Sasa ndo mjipima tume huru ikiwepo Hali yenu itakuwaje?
 
Kwani zanzibar nayo inchi?
Hahhaahahahahahaah.

Leo nimepita sehemu hii asubuhi watoto wa shule wapo assembly wanaimba wimbo wa taifa wa Zanzibar.

Mungu, ametubarikiaaaaa
Uuunguja na Peemba yooteee
Sooote tunaashangiliaa
Muunguuuu ametubarikiaaaaaa.....
 
Back
Top Bottom