ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

Wasaliti katika ubora wao. Pia wafikirie na zoezi la kufagia maeneo ya Buguruni, kuzoa taka Tandika.
 
daha mikutano imewashinda sasa mmeanza staili mpya. Hamkuhitaji kutangaza na nyie nendeni kimya kimya toeni damu na rudini nyumbani

du!angefanya mwingine safi na anawajali wananchi.
 
Shughuli hiyo ya uchangiaji Damu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, itafuatiwa na Kongamano la Chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa Ikweta Grill uliopo Temeke

Katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya Mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za Chama cha ACT-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozI wa Chama Zitto Kabwe.
Zitto kwishiney toka mtoa mada Nkrumah hall hadi kwenye kumbi za guest house.
 
wenzao wa upande wa ccm a wanajifanyaga wako karibu na wananchi kwa kubeba matofali na kulima. Wao ccm b wamekuka na staili mpya ya kujidai wanachangia damu! Damu zao wengi zina maradhi waangalie wasikimbie wakiwa wodini


ikitolewa damu na act ni chafu,ikitole na ukawa au ccm ni chafu,siasa hizi bwana ni zaidi ya uhai wa watu kwa vipofu wa siasa
 
Siasa si lelemama, mmekuwa kama mateja ghafla kuzoa taka? City wafanye nini?

Kongamano lkwete grill?

Aguko kubwa sana hilo.

Laana ya usaliti itawatafuna sana wote.


Bado bwana Limbu atawalaani tu
 
Taasisi ya damu salama iwe na utaratibu utakaoepusha kutumika kwa namna yoyote ile kwa ajili ya manufaa ya kiitikadi yoyote. Damu ni uhai, haiuzwi kuchangia kwa ajili ya kujinufaisha ni sawa na kuuza damu.
 
msikubali kukaa hapo mahali ni sehemu ndogo barabarani ndani kuna mambo mengi ya kinywaji.ukumbi na rooms ni hatua nane
 
Huu ni utata hapo kwenye Transparence; hivi hiki chama kinaitwa Alliance for Change and TransparencE au Alliance for Change and Transparency.
 
Nilifikiria baada ya Diamond Jubilee, mikutano mingine itakuwa Mlimani city hall. Bado kidogo mkutano mwingine utafanyikia kwa mfuga mbwa.
 
Bahati mbaya nyingine hii kwa Yuda Iskarioti, kesho taarifa ni mgomo wa mabasi tu!!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance(ACT-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.

Katika kuadhimisha mwaka mmoja Chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini

Jijini Dar esSalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa Chama Zitto Kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa Chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa Damu kwa hospitali hiyo.

Shughuli hiyo ya uchangiaji Damu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, itafuatiwa na Kongamano la Chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa Ikweta Grill uliopo Temeke

Katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya Mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za Chama cha ACT-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozI wa Chama Zitto Kabwe.

Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa Chama Samson Mwigamba na Mshauri wa Chama, Profesa Kitilla Mkumbo.

Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.

Imetolewa na Abdallah Khamis

Afisa Habari ACT Wazalendo
April 4/2015
0777 008686

Asante kwa taarifa nzuri na ya kutia moyo.
Hiki ndicho watanzania wanataka chama kinachoguswa na matatizo ya wananchi.
taratibu watanzania tunaanza kuwaelewa mliposema wazalendo mlikuwa mnamaanisha nini.
 
haha..hivi nao wana damu safi ya kutoa..walivyopigika hadi..ayatoullah akajitokea....sijui km damu imejaa na imeshasafishika....
mkuu unamkumbuka mama yako mzazi lakini the way unavyomkumbuka zitto?
 
hiki kikundi cha wahuni hakina muda mrefu kwenye medani za kisiasa kitajifia taratibu na kuzikwa baada ya uchaguzi....time will tell
 
Masikini yule mama Mghirwa mmemuweka km mwenyekiti kivuli tu, kila kitu ni Zitto, ni wazi ACT chain ya madaraka ya uongozi haiko defined.....

Hyo sio ishu,tunachotaka ni upinzani wa kweli sio huu wa magumash.
 
Kwi kwa kwa marehemu wa kiasa mukiambiwa mumeiba chama munakataa act Tanzania na act wazalendo wapi na wapi walaghai wakubwa nyie maskini the erra of Zitto finite unaanza kucheza michezo ya mama nibebe na mbeleko poor you son

Hzo zaitwa ndoto za alinacha.
 
Back
Top Bottom