mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 310
Hamna jipya na mhuni wenu ZITO,mmejificha kwenye koti la udini hasa hapa kigoma.
wewe jamaa unatumia kiungo gani kufikiri?una matatizo lukuki lakini kwa leo nitaongelea hili la kunukuu habari nzima kwa kuandika upuuzi.kwa nini hujifunzi?au ndio tatizo la kutotumia kichwa kufikiri?Acha huu upuuzi tafadhali