ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

Haha..pengine unadhani ni za kitoto kwa vile hujapata bahati ya kujua kwanini ACT-Tanzania wanataka baki na chama chao..walipiga sana...sijui km damu zimerudi..na damu ya kula vitu duni hata kinga ni kidogo pengine hata ni chafu sana..
Najua hata hiyo CDM ilianza kwa kudharaulika lakin mambo yalibadirika, ACT hatuamin kuaminika kwa muda mfupi hivyo hata wewe utakuja elewa na si lazima iwe leo
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance(ACT-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.

Katika kuadhimisha mwaka mmoja Chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini

Jijini Dar esSalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa Chama Zitto Kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa Chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa Damu kwa hospitali hiyo.

Shughuli hiyo ya uchangiaji Damu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, itafuatiwa na Kongamano la Chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa Ikweta Grill uliopo Temeke

Katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya Mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za Chama cha ACT-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozI wa Chama Zitto Kabwe.

Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa Chama Samson Mwigamba na Mshauri wa Chama, Profesa Kitilla Mkumbo.

Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.

Imetolewa na Abdallah Khamis

Afisa Habari ACT Wazalendo
April 4/2015
0777 008686
Sina hakika kama hiki chama kipya kimefikisha umri wa mwaka mmoja!!

Mimi ninavyofahamu, chama kinachofikisha mwaka mmoja ni ACT - Tanzania. Hiki ACT - Wazalendo si kimeanzishwa juzi juzi hapa jamani? Na huyu Msajili naye ni kama zoba vile!!
 
Najua hata hiyo CDM ilianza kwa kudharaulika lakin mambo yalibadirika, ACT hatuamin kuaminika kwa muda mfupi hivyo hata wewe utakuja elewa na si lazima iwe leo

20 yeas na kidogo mkuu mtapigika ile mbaya kusimamisha taasisi si jambo ya kitoto na jamaa mpaka afie hapo
 
Nape...mkama..chenge alianza kwa kudharauliwa nje ya CCM hadi leo anaondoka kwa kudharauliwa...nini kitakuwa tofauti na wao..CDM wamevuka milima na mabonde kwa vile ni majembe...Ayaoutoula unadhani kwa kujiliza,kuamini ushirikina kwamba ataua hadi panya..atawaweza waloga au kujiliza kwa wat wote?
 
Usiangalie idadi ya miaka tazama mabadiliko ya watu, teknolojia na uelewa, tofautisha cdm na act mwanzo wao watu walipokea vipi ujio, leo ndo tunazungumzia mwaka mmoja lakin act hata mtoto saizi anajikuta akisema neno hilo, mbowe,slaa,mnyika nk hawamaliz kikao bila ya neno act
 
Km act nao wana cha kujisifu hata Ebola, Ukimwi,ISIS wanahitaji kutembea kifua mbele zaidi.
 
Nape...mkama..chenge alianza kwa kudharauliwa nje ya CCM hadi leo anaondoka kwa kudharauliwa...nini kitakuwa tofauti na wao..CDM wamevuka milima na mabonde kwa vile ni majembe...Ayaoutoula unadhani kwa kujiliza,kuamini ushirikina kwamba ataua hadi panya..atawaweza waloga au kujiliza kwa wat wote?
Nazungumzia chama ndugu na si watu, wewe na mm twaweza kutwa kesho ni mfu, chama kitakuwapo, hivyo kubeza chama chenye mwaka mmoja leo lakini hadi mende hamalizi maneno jukwaani bila kukitaja ogopa ndugu
 
Usiangalie idadi ya miaka tazama mabadiliko ya watu, teknolojia na uelewa, tofautisha cdm na act mwanzo wao watu walipokea vipi ujio, leo ndo tunazungumzia mwaka mmoja lakin act hata mtoto saizi anajikuta akisema neno hilo, mbowe,slaa,mnyika nk hawamaliz kikao bila ya neno act

Mkuu nijibu basi: ni act ipi inayotimiza mwaka leo? Kwani ukiitaja ni kosa
 
Nazungumzia chama ndugu na si watu, wewe na mm twaweza kutwa kesho ni mfu, chama kitakuwapo, hivyo kubeza chama chenye mwaka mmoja leo lakini hadi mende hamalizi maneno jukwaani bila kukitaja ogopa ndugu
chama kipi ACT-wazalendo wasiopokea hela halali ila za ufisadi..kwani ACT ni chama au ni Ayatoullah`s other name.
 
Nape...mkama..chenge alianza kwa kudharauliwa nje ya CCM hadi leo anaondoka kwa kudharauliwa...nini kitakuwa tofauti na wao..CDM wamevuka milima na mabonde kwa vile ni majembe...Ayaoutoula unadhani kwa kujiliza,kuamini ushirikina kwamba ataua hadi panya..atawaweza waloga au kujiliza kwa wat wote?
chama kipi ACT-wazalendo wasiopokea hela halali ila za ufisadi..kwani ACT ni chama au ni Ayatoullah`s other name.
Pesa ipi halali ya ujerumani!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance(ACT-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.

Katika kuadhimisha mwaka mmoja Chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini

Jijini Dar esSalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa Chama Zitto Kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa Chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa Damu kwa hospitali hiyo.

Shughuli hiyo ya uchangiaji Damu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, itafuatiwa na Kongamano la Chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa Ikweta Grill uliopo Temeke

Katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya Mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za Chama cha ACT-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozI wa Chama Zitto Kabwe.

Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa Chama Samson Mwigamba na Mshauri wa Chama, Profesa Kitilla Mkumbo.

Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.

Imetolewa na Abdallah Khamis

Afisa Habari ACT Wazalendo
April 4/2015
0777 008686

thanks kwa information
 
Kati ya Act Tanzania na Act Wazalendo kipi kimetimiza mwaka?
ACT Wazalendo kimeanzishwa na Ayatōllah hata mwezi hakijatimiza leo wanataka kuudanganya umma kuwa kimetimiza mwaka mmoja.

Chama kinachoanzishwa kwa misingi ya kilaghai kitamalizwa na ulaghai.
 
Tupo nitafika kupata uzalendo
Na kalaana ka ufisadi kakisindikizwa na usaliti.....Wazalendo wa kizazi kipya,wanakula hela ya ufisadi ,hela ya Escrow ila si hela halali ya posho.
 
Kila la kheri kwahiyo kesho kazi kubwa ya ACT ni kujamiiana/Kusocialize
 
Naona thread zenu zimeanza kudoda.

Wameshakosa mvuto,pale zitto aliposhindwa kesi mahakamani na kujiunga act ulikuwa hot,ila ujue ni chama cha msimu now washadoda hamna hata ya kuvuta attention ya watu
 
ACT inasema nini juu ya mgomo wa madereva pia na kusainiwa kwa sheria ya mitandao...!?
 
Back
Top Bottom