ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
345
Reaction score
307
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance(ACT-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.

Katika kuadhimisha mwaka mmoja Chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini

Jijini Dar esSalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa Chama Zitto Kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa Chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa Damu kwa hospitali hiyo.

Shughuli hiyo ya uchangiaji Damu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, itafuatiwa na Kongamano la Chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa Ikweta Grill uliopo Temeke

Katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya Mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za Chama cha ACT-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozI wa Chama Zitto Kabwe.

Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa Chama Samson Mwigamba na Mshauri wa Chama, Profesa Kitilla Mkumbo.

Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.

Imetolewa na Abdallah Khamis

Afisa Habari ACT Wazalendo
April 4/2015
0777 008686
 
patakuwa na taarabu , nimecheza sana taarabu hapo grill karibu na Aziz Alli ila vibaka ni wengi mjihadhari ndugu zangu wa ACT hayo maeneo kila kitu dili. Je upande wa baa utaendelea ? na guest house?
 
ahahahahaha n majanga hiki nacho n chamaa mmmmmmmmmmmh
 
haha..hivi nao wana damu safi ya kutoa..walivyopigika hadi..ayatoullah akajitokea....sijui km damu imejaa na imeshasafishika....
 
Daha mikutano imewashinda sasa mmeanza staili mpya. Hamkuhitaji kutangaza na nyie nendeni kimya kimya toeni Damu na rudini nyumbani
 
Mhhhh.....hivi kila damu madaktari wanaipokea tuu? Au kwa vile ya bure inapokelewa?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance(ACT-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.

Katika kuadhimisha mwaka mmoja Chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini

Jijini Dar esSalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa Chama Zitto Kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa Chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa Damu kwa hospitali hiyo.

Shughuli hiyo ya uchangiaji Damu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, itafuatiwa na Kongamano la Chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa Ikweta Grill uliopo Temeke

Katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya Mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za Chama cha ACT-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozI wa Chama Zitto Kabwe.

Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa Chama Samson Mwigamba na Mshauri wa Chama, Profesa Kitilla Mkumbo.

Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.

Imetolewa na Abdallah Khamis

Afisa Habari ACT Wazalendo
April 4/2015
0777 008686

Hamna jipya na mhuni wenu ZITO,mmejificha kwenye koti la udini hasa hapa kigoma.
 
taarifa kwa vyombo vya habari
chama cha alliance for change and transparance(act-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.

Katika kuadhimisha mwaka mmoja chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini

jijini dar essalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa chama zitto kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya taifa ya muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa damu kwa hospitali hiyo.

Shughuli hiyo ya uchangiaji damu katika hospitali ya taifa muhimbili, itafuatiwa na kongamano la chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa ikweta grill uliopo temeke

katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za chama cha act-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozi wa chama zitto kabwe.

Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa chama samson mwigamba na mshauri wa chama, profesa kitilla mkumbo.

Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.

Imetolewa na abdallah khamis

afisa habari act wazalendo
april 4/2015
0777 008686

milioni 700 mliyoomba ccm mmeishapewa tayari?
 
patakuwa na taarabu , nimecheza sana taarabu hapo grill karibu na Aziz Alli ila vibaka ni wengi mjihadhari ndugu zangu wa ACT hayo maeneo kila kitu dili. Je upande wa baa utaendelea ? na guest house?
Asante kwa kuchangia
 
ACT is nothing without mentioning the name Zitto???
 
Bora Equator Grill kwa mashoga wacheza twaarab, naamini shopping ya ayaaatollah Zitto itafanyikia AL JAZEERA SUPERMARKET au HALAL RESTAURANT

Inshaaaallah
 
Back
Top Bottom