ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

Tunao hawa hitaji pesa, wao ni zaidi ya uzalendo, lissu, marando na wengine wengi tu.upo huru ongea mkuu.
 
mkuu siku walipokuwa makambako wakifiri kwamba wananchi hawajui kama wanafadhiliwa na ccm kupitia savimbi na MAMVI WAKATAKA kupima upepo ili wananchi wawachangie hela, ilikuwa aibu waliambulia 6500 KUTOKA KWENYE ile nyomi yote waliyokuwa nayo

Duh! mwanzo mzuri ngoja waanze round ya pili naona wamekuja Strategy na kuomba Michango kupitia mitandao ya Simu inaweza work.
 
Nicholas unahangaika mno, hiyo chuki uliyobeba itakuuguza Madonda ya tumbo, manake mpaka unatia huruma kwa unavyobwabwaja
huwezi kuwa na akili zaidi ya hapo..?lini mtakubali kuwa mna shida ya kufikiri angalau mjifunze.
 
Back
Top Bottom