ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

ACT-Wazalendo - Taarifa kwa vyombo vya habari

ww ndo unayeota ndoto za maruhani tena za mchana kweupe, fuata hii formula ndo utajua nachosema;
zitto+bendera fuata upepo= act wasaliti
no zitto+bendera fuata upepo=act mfu...kwisha habari yenu halafu we ni gamba huna lolote

Unaposema bendera fuata upepo unamaanisha nini?
Kama unamaanisha ni upepo tu utapita unajidanganya, huu sio upepo hiki ni kimbunga kitakachosomba magwanda na magamba yote na kuyavika uzalendo.
 
Nicholas unahangaika mno, hiyo chuki uliyobeba itakuuguza Madonda ya tumbo, manake mpaka unatia huruma kwa unavyobwabwaja

Kweli mkuu huyu jamaa anahangaika kweli, huwezi jua yawezekana ndio kibarua chake.
 
Watanzania wenzenu wazalendo, tunawatakia kila la kheri katika safari yenu yenye nia thabiti ya kumsaidia Mtanzania kusonga mbele!

Unajuaje kuwa wanawasaidia watanzania,usijeukakuta watanzania tunajiuliza ni kwa nini ndugu zetu albino wanakatwa viungo hasa kipindi hiki cha uchaguzi kumbe ACT kwa upande wao ndio wanaofanya kazi ya kukausha damu za watanzania ili wakatambikie uchaguzi ndio maana wanajifanya kutoa msaada kipindi cha uchaguzi.
 
hyo sio ishu,tunachotaka ni upinzani wa kweli sio huu wa magumash.

eti makenge ya ccm kama huyu ndio mashabiki wa zitto!! Inasikitisha sana sikuwahi kuwaza kama zitto ataishia vibaya namna hii.
 
Hivi ni ACT wazalendo au ACT Tanzania?
Hapo ndipo penye mtego wa CCM, ni kama samaki aliyemeza ndoana ila bado yupo kwenye maji, mda wowote mvuvi akimuhitaji anavuta kamba tu. Unatumia nguvu kubwa kufanya kampeni kwenye chama kisicho na usajili! Wazee wa lumumba wanacheeeka
 
Usiseme ACT sema Zitto. Hakuna chama pale, ila yupo Supreme leader Zitto Kabwe na wengine ni wafuasi wake tu.
ACT bila Zitto hauwezekani.
 
napata shida sana kukiamini ACT wazalendo nisameheni tu bureeee
kama ni nabii namuona anaelement zote za uongo uongo hv.
 
Bin Adam ambae amezoe kudanganywa kwa ahadi za ungotangu miaka 50 iliopita Leo hii umueleze ukweli hawezi kukuamini wataaminiwa waongo ambao wanaahidi
pepe wakiigia ikulu pesa bira kazi na wanao waunga mkono ni wavivu wa kilakitu
 
eti... kiongozI wa Chama Zitto Kabwe????!!!

Kabwe anashikiria uongozi gani ndani ya ACT TANZANIA AU ACT WAZALENDO??

Hii ni kusema mwenyekiti ( yule mama) alichaguliwa kama boya??
 
Kumbe usaliti ulianza muda, mwaka sasa cha cha wasaliti kimefikisha. Hongereni tawi la CCM na TISs-S

Naskia sheria imesainiwa naombeni mnichangie nipate wakili
 
Yaani waasi ndio viongozi duuu, ,,,, hongera chadema wa kuwa na macho makali yenye mionzi kuona uozo huu. Watanzania wanaowaunga mkono ni hamnazo
 
Maajabu yanaendelea chama kilichotimiza mwaka mmoja ni act-tanzania au act-wazalendo?
 
Back
Top Bottom