PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Vizuri inapendeza kwani hakuna sababu hio
Asante kwa kunielewa lakini Acheni uongo wakuu mmezidi sasa.
Vizuri inapendeza kwani hakuna sababu hio
Siwezi poteza muda wangu kwa chama cha.mfukoni
Ndugu mbona mmesha mtingisha sana lakin wapi! jamaa kazunguka mikoa 10, CDM hakukukalika kila mtu wima hehee huyu kasha sema anangoz ngumUsicheke mkuu hilo ni tatizo kubwa sana huyo jamaa hapo ndiyo kafika kama unabisha jaribu kumtingisha uone.
Udini gani sasa we kijana wa bavicha? Mbn povu au ndo viroba hvo? Tuelezee udini wa ACT na sie tujueWapuuzi tu hamnajipya mnahaha kujitafutia umaarufu.udini ndo umewajaaa.
Siwezi poteza muda wangu kwa chama cha.mfukoni
Uongo upi tenaAsante kwa kunielewa lakini Acheni uongo wakuu mmezidi sasa.
Haha..pengine unadhani ni za kitoto kwa vile hujapata bahati ya kujua kwanini ACT-Tanzania wanataka baki na chama chao..walipiga sana...sijui km damu zimerudi..na damu ya kula vitu duni hata kinga ni kidogo pengine hata ni chafu sana..Tumesha zoea sarcasm zenu za kitoto
Ilipotangazwa kidogo ikashikilia waganga njaa wa ACT ambao huwa si wakaaji..sasa wanaamini watapata kamgao kidogo...milioni 700 mliyoomba ccm mmeishapewa tayari?
Ndugu mbona mmesha mtingisha sana lakin wapi! jamaa kazunguka mikoa 10, CDM hakukukalika kila mtu wima hehee huyu kasha sema anangoz ngum
Kama ilivyokuwa TANU ya Nyerere enzi hzo.
Kwakweli mgonjwa wangu nitamtolea mwenyewe damu siwezi kukubali awekwe damu ya wasaliti hasa damu ya yuda iskarioti ni mkosi kwenye ukoo.
Uongo upi tena
Masikini yule mama Mghirwa mmemuweka km mwenyekiti kivuli tu, kila kitu ni Zitto, ni wazi ACT chain ya madaraka ya uongozi haiko defined.....
Kati ya Act Tanzania na Act Wazalendo kipi kimetimiza mwaka?
Asante sanaHuo ni utaratibu wetu mkuu ni heri kupambana na tlp lakini siyo act hulo tunalijua,hivi unajua ukimwona tumbili mzee mjini ujue amekwepa mishale mingi,Sasa huki chama dah... Ila msikate tamaaa endekeeni kumjengea mshaji ztto ufalm
ACT Nimoja tuKati ya Act Tanzania na Act Wazalendo kipi kimetimiza mwaka?
ACT Nimoja tu
nadhani hata mateja nao watatoa damu zao chafu.patakuwa na taarabu , nimecheza sana taarabu hapo grill karibu na Aziz Alli ila vibaka ni wengi mjihadhari ndugu zangu wa ACT hayo maeneo kila kitu dili. Je upande wa baa utaendelea ? na guest house?