KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
milioni 700 mliyoomba ccm mmeishapewa tayari?
Misheni ilibumburushwa wameanza kuchangisha ili waende round pili mpango wa kuchangisha waweza kuwa ni utakatishaji
milioni 700 mliyoomba ccm mmeishapewa tayari?
ACT is nothing without mentioning the name Zitto???
Sa siungesoma tu kulikuwa na ulazima gani wa kuchangia neno!
Hahaa da! hivi kwa nini mna disgust sana dhidi ya ztt, usiogope mwanzo ndo huo wataongezeka zaid ya ztt, kila jambo huongozwa na alie juu akiamua hilo hakuna shidaNakushauri usikiamini kabisa zitto akiumwa na chama kinaumwa
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance(ACT-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.
Katika kuadhimisha mwaka mmoja Chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini
Jijini Dar esSalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa Chama Zitto Kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa Chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa Damu kwa hospitali hiyo.
Shughuli hiyo ya uchangiaji Damu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, itafuatiwa na Kongamano la Chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa Ikweta Grill uliopo Temeke
Katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya Mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za Chama cha ACT-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozI wa Chama Zitto Kabwe.
Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa Chama Samson Mwigamba na Mshauri wa Chama, Profesa Kitilla Mkumbo.
Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.
Imetolewa na Abdallah Khamis
Afisa Habari ACT Wazalendo
April 4/2015
0777 008686
Vizuri inapendeza kwani hakuna sababu hioSiwezi poteza muda wangu kwa chama cha.mfukoni
Kama ilivyokuwa TANU ya Nyerere enzi hzo.
Kwi kwa kwa marehemu wa kiasa mukiambiwa mumeiba chama munakataa act Tanzania na act wazalendo wapi na wapi walaghai wakubwa nyie maskini the erra of Zitto finite unaanza kucheza michezo ya mama nibebe na mbeleko poor you sonVUA GAMBA VUA GWANDA VAA UZALENDO. Kauli mbiu ya ACT. Haya wakubwa kazi njema.
Hahaa da! hivi kwa nini mna disgust sana dhidi ya ztt, usiogope mwanzo ndo huo wataongezeka zaid ya ztt, kila jambo huongozwa na alie juu akiamua hilo hakuna shida
mkuu siku walipokuwa makambako wakifiri kwamba wananchi hawajui kama wanafadhiliwa na ccm kupitia savimbi na MAMVI WAKATAKA kupima upepo ili wananchi wawachangie hela, ilikuwa aibu waliambulia 6500 KUTOKA KWENYE ile nyomi yote waliyokuwa nayoMisheni ilibumburushwa wameanza kuchangisha ili waende round pili mpango wa kuchangisha waweza kuwa ni utakatishaji
zitto anataka kuchangia damu??????taarifa kwa vyombo vya habari
chama cha alliance for change and transparance(act-wazalendo), kesho mei 5/2015 kitatmiza mwaka mmoja tokea kipate usajili wa kudumu.
Katika kuadhimisha mwaka mmoja chama kitashiriki katika shughuli za kijamii kwa kuwahusisha viongozi wa kitaifa katika maeneo mbali mbali nchini
jijini dar essalaam,kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kiongozi wa chama zitto kabwe atawaongoza wanachama na wapenzi wa chama katika kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya taifa ya muhimbili, ikiwa ni pamoja na uchangiaji wa damu kwa hospitali hiyo.
shughuli hiyo ya uchangiaji damu katika hospitali ya taifa muhimbili, itafuatiwa na kongamano la chama litakalofanyika kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa moja jioni katika ukumbi wa ikweta grill uliopo temeke
katika kongamano hilo mada itakayozungumzwa ni juu ya mustakabali wa maendeleo ya nchi chini ya sera mpya za chama cha act-wazalendo na kongamano hilo litafunguliwa na kiongozi wa chama zitto kabwe.
Watoa mada wengine katika kongamano hilo watakuwa ni katibu mkuu wa chama samson mwigamba na mshauri wa chama, profesa kitilla mkumbo.
Pia katika maeneo mengine ya nchi viongozi wa ngazi mbali mbali watashiriki katika shughuli za kijamii kulingana na mahitaji ya maeneo yao.
Imetolewa na abdallah khamis
afisa habari act wazalendo
april 4/2015
0777 008686
Wataalamu wa Damu Salama watakusanya damu kutoka kwa wote bila kujali hali ya maambukizi na kisha watazipima na kutunza damu iliyo salama kwenye benki ya damu. Pia kwa wale watakaokuwa wameridhia kuambiwa hali zao za maambukizi ya VVU baadaye.Wapimwe kwanza