PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
- Thread starter
- #81
hakuna ubaya ,tunachotaka kujua ni ukweli.fedha zatoka kwa mwigulu
hakuna ubaya ,tunachotaka kujua ni ukweli.fedha zatoka kwa mwigulu
Mbona chadema alipewa mil 100 na muhindi wa ccm?? Kuna kosa act wakopewa???
Kwahiyo waliopewa pesa na mzee Sabodo ni pesa chafu?siyo vibaya wakatueleza pia,huwezi kujiita mzalendo wakati unapokea pesa chafu