ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

Mkuu habari ya mujini wakati anashindwa kujibu maswali ya msingi anayoulizwa na Watanzania? Alikuja hapa jamvini akaanzisha uzi na watu wengi wakauliza maswali mengi ya msingi akajibu baadhi tu na kisha akakikimbia kujibu maswali mengine chungu nzima. Ni kipi kinachomfanya achague maswali yepi ni ya kuyajibu na mengine kuyapotezea? Kama hana majibu si aseme tu sina majibu badala ya kukimbia? Haya maswali yataendelea kuulizwa atayakimbia mpaka lini?

Mkuu wangu hata kujibu hayo machache ni credit, si viongozi wengi wana ujasiri wa kuface hadhira na kujibu maswali yao. Pia kiongozi makini kama ZZK hawezzi kukurupuka kujibu maswali ambayo anahitaji muda kuyatafakari na kutafutia majibu yake, lakini ukumbuke kuwa yapo maswali mengine hayana majibu.

Nakuhimiza ndugu, fuatilia kwa karibu mikutano ya ACT na soma vyema sera na katiba ya ACT kisha fananisha na vyama vingine utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana. Juzi nimeshangaa sana kwa Mbowe kusema hatokubali JK kujiongezea muda wa kuongoza, wakati katika katiba yao ya chama hakuna ukomo wa uongozi...........
 
Mimi nina mchepuko wangu ni kiongozi wa CHADEMA. Akinipa pesa, nakata kiasi na kuwachangia ACT-Wazalendo.

Zito kaza buti, uzalendo kwanza michepuko baadaye.
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani.

Kama mtanzania nahitaji majibu?
 
kumbe unamjua na anaetoa, kwanini act hamtaki kutaja anaewapa pesa,

aliewapa chadema cuf nccr wakapotea ndo awapa act. Kimsing tz hii upinzani n zao la ccm. Baada ya nchi kubaniwa misaada na weupe wakalazmisha demokrasia hil wapew misaada mzee wa taifa hil akatengeneza mazngira wakptikan wapzani. Ndo mana alikuj sema upinzan wa kwel utaptkana ccm.
 
Siyo swala la kukurupuka ili kujibu maswali. Baadhi ya maswali yaliulizwa tangu mwaka 2012 hadi leo hajayajibu. Inamchukua miaka mingapi kutafuta majibu ya maswali hayo!? Kujibu swali la vyanzo vya mapato nalo linahitaji muda gani ili kuweza kulijibu!? Kama baadhi ya maswali hayana majibu hakuna ubaya kutamka hivyo hadharani ili Watanzania tukafahamu hivyo.

Mkuu wangu hata kujibu hayo machache ni credit, si viongozi wengi wana ujasiri wa kuface hadhira na kujibu maswali yao. Pia kiongozi makini kama ZZK hawezzi kukurupuka kujibu maswali ambayo anahitaji muda kuyatafakari na kutafutia majibu yake, lakini ukumbuke kuwa yapo maswali mengine hayana majibu.

Nakuhimiza ndugu, fuatilia kwa karibu mikutano ya ACT na soma vyema sera na katiba ya ACT kisha fananisha na vyama vingine utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana. Juzi nimeshangaa sana kwa Mbowe kusema hatokubali JK kujiongezea muda wa kuongoza, wakati katika katiba yao ya chama hakuna ukomo wa uongozi...........
 
Mkuu wangu hata kujibu hayo machache ni credit, si viongozi wengi wana ujasiri wa kuface hadhira na kujibu maswali yao. Pia kiongozi makini kama ZZK hawezzi kukurupuka kujibu maswali ambayo anahitaji muda kuyatafakari na kutafutia majibu yake, lakini ukumbuke kuwa yapo maswali mengine hayana majibu.

Nakuhimiza ndugu, fuatilia kwa karibu mikutano ya ACT na soma vyema sera na katiba ya ACT kisha fananisha na vyama vingine utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana. Juzi nimeshangaa sana kwa Mbowe kusema hatokubali JK kujiongezea muda wa kuongoza, wakati katika katiba yao ya chama hakuna ukomo wa uongozi...........
Katiba za vyama vya siasa si mfano mzuri katika hoja yako, maana na hiyo ya ACT ina kasoro katika mfumo wa uongozi.
 
Katiba za vyama vya siasa si mfano mzuri katika hoja yako, maana na hiyo ya ACT ina kasoro katika mfumo wa uongozi.

Mtu kama Mbowe aliyelelewa na katiba isiyo na ukomo wa uongozi, ataweza vipi kuienzi katiba ya nchi yenye ukomo wa uongozi kipindi ambacho ana uwezo wa kuibadili atakavyo?
 
Hahahaha pro chagadema naona mmeishiwa umbea sasa,mnaona sasa ni bora kurudiarudia umbea wenu uleee uliotupiliwa mbali kwakukosa maana.Mwaka huu lazima chup ziwapwaye,hiyo ni trailer tu muvi yenyewe October.
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani.

Kama mtanzania nahitaji majibu?
 
Mtu kama Mbowe aliyelelewa na katiba isiyo na ukomo wa uongozi, ataweza vipi kuienzi katiba ya nchi yenye ukomo wa uongozi kipindi ambacho ana uwezo wa kuibadili atakavyo?
Siyo suala la binafsi Kama unvyotaka kuonyesha na shambulizi la watu binafsi. Tanzania tumekuwa na katiba isiyo na kikomo kwa muda mrefu tu na hata ya chama tawala haina kikomo lakini tunaendelea na wala haimzuii mtu kutoa maoni yake kuhusu kuvunja katiba yenye kikomo. muundo wa katiba wa ACT pia unafanana na wa korea kasikzini au iran (kwa nguvu za kiongozi mkuu - ambaye pia uchaguzi wake si wa kidemokrasia) je itamzuia kiongozi huyo pia kutoa maoni yake ikiwa kuna dalili za kuvunja katiba ya nchi? Ni vizuri mapenzi yenu kwa vyama na watu binafsi yasiwapofushe na kuanza kushambulia watu binafsi badala ya kujenga hoja zenye mashiko.
 
Kila mafanikio lazima yawe na siri yake nyuma ya pazia mpaka kufika hapo na hiki chama naona wamejipanga kweli kweli na nahisi zitto kahama na wafuasi wake maana hali niliyoona mwanza hawa watu bungeni mwaka huu wanaweza kuchukua viti kadhaa
 
Mimi nina mchepuko wangu ni kiongozi wa CHADEMA. Akinipa pesa, nakata kiasi na kuwachangia ACT-Wazalendo.

Zito kaza buti, uzalendo kwanza michepuko baadaye.

Daaah! kwahyo pesa za michepuko ndio zinazotumika kuendeshea ACT?!!!!! hii ni shida sana
 
Weka akiba ya maneno. Usidhihirishe chuki dhidi ya ACT kwa kuwa ni muda mfupi ujao utakuja kuomba radhi wakati wa kujiunga na chama.
elewa kwamba mmi sio mwanasiasa wala mwanachama wa chama chochote kile hivyo naongea juu ya kile ninachokiona
 
kwani CHADEMA hela ya kurusha helcopter nchi nzima wakati wa kampeni walizitoa wapi? CHUKI TUU.
 
si vibaya tukawafahamu hao wanaochangia,kama wameamua kuwa wawazi kama zitto anavyojinadi, kunaubaya gani kuliweka hili wazi.
Atajuta kula hela za watu. ccm watamtumia hadi wachoke wenyewe.. ingekuwa hiyari yake asingetoa kauli mbili mbili.. Si alitangaza kuacha siasa? alidhani kamaliza kazi waliyomtuma mabosi wake.. karudishwa mchezoni bila kutaka.. ccm na wafuasi wake wamegeuka act kwa muda.. kinana kapumzika kamwachia --------.
 
Back
Top Bottom